Katika hali ambayo pengine mashabiki wengi wa EPL hawakuitegemea ni pale Newcastle United walipowalaza na viatu Leicester City.

Katika muendelezo wa EPL, Newcastle walikuwa ugenini kupambana na vijana wa Brendan Rodgers pale King Power Stadium. Mmoja akitafuta uhakika wa kusalia EPL msimu ujao, mwingine akiusaka uhakika wa kucheza Ligi ya Mabingwa msimu ujao.

The Magpies walianza kwa kuongoza kwa magoli 4 yaliyofungwa na Joe Willock, Paul Dummett na Callum Wilson (2) kabla ya The Foxes kulipa magoli 2 yaliyofungwa na Marc Albrighton na Kelechi Iheanacho.

Kwa matokeo haya, Newcastle United wanahitaji pointi 1 tu kujihakikishia nafasi ya kucheza EPL msimu ujao huku Leicester City akihaha katika nafasi ya 3 akimtizama Chelsea ambaye anamchezo mmoja pungufu.

Chelsea atakuwa uwanjani kupambana na Man City leo usiku, ushindi kwa The Blues utawapandisha nafasi ya 3 na kuwashusha Leicester City kwenye nafasi ya 4. Ushindi kwa Citizens utawapa ubingwa zikiwa imesalia michezo 3 msimu huu kukamilika.


TENGENEZA FAIDA KUPITIA MCHEZO WA TITAN DICE UKIWA NA MERIDIANBET KASINO

Unapokuwa kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, huna sababu ya kucheza kwa mashaka. Titan Dice, ni mchezo unaweza kukupatia mamilioni kwa mzunguko mmoja!

Newcastle United, Newcastle United, Bado Pointi 1 Muhimu EPL., Meridianbet

SOMA ZAIDI

7 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa