Maambukizi mapya ya virusi vya COVID19 yamepelekea timu ya Newcastle United kufunga uwanja wao wa mazoezi.

Hii ni baada ya Newcastle United kuthibitisha maambukizi mapya wa wachezaji 3 na mfanyakazi mmoja wa klabu hiyo kama ilivyowekwa wazi na kocha wa timu hiyo – Steve Bruce.

Newcastle watasafiri ijumaa hii kuwafata Aston Villa katika muendelezo wa michezo ya EPL. Baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Crystal Palace, Bruce alinukuliwa akisema “hali imekuwa ngumu kupambana nayo”.

Jumapili iliyopita, Premier League waliripoti visa 10 vya maambukizi ya COVID19 japokuwa hawakusema ni katika vilabu gani.


FURAHIA MUZIKI MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Mchezo wa Astro Legend unakupatia burudani ya muziki kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

Newcastle United, Newcastle United Yafunga Uwanja., Meridianbet

INGIA MCHEZONI

14 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa