Ligi kuu ya Uingereza EPL ilichezwa michezo mbalimbali lakini kwa mchezo wa mwisho wa jana ni ulie ambao uliwakutanisha Newcastle United dhidi ya Brentford majira ya saa 1:30 usiku.
Mpaka kufika muda wa mapumziko hakuna hata timu moja ambayo ilikuwa imetikisa nyavu za mwenzake huku timu zote zikishambuliana kusaka pointi tatu muhimu.
Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.
Brentford alikuwa kashinda mechi moja pekee huku iliyopita akitoa sare wakati Newcastle yeye alitoka kupoteza mechi yake iliyopita hivyo ushindi huo alikuw aakiuhitaji kwa namna yoyote ile ijiweke kwenye nafasi nzuri.
Ushindi huo ulikuja baada ya golikipa wa Brentford kumchezea vibaya Godon ambaye alikuwa tayari ndani ya 18 hivyo mwamuzi wa mechi akaona ile ilistahili kuwa penati na ndipo Callum akaitupia nyavuni katika kipindi cha pili.
Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.
Vijana wa Howe watakuwa na kibarua kizito siku ya Jumanne ambapo watakuwa ugenini kukichapa dhidi ya AC Milan kwenye Ligi ya Mabingwa barani Ulaya. Milan ano jana wamechapika vibaya sana dhidi ya Inter.
Je Howe na vijana wake wataanzaje michuano hiyo ya Ulaya dhidi ya Mabingwa mara 7 wa Kombe hilo la Ulaya?