Neymar Fit kuwavaa Atalanta - Tuchel.


Neymar amekuwa kwenye kiwango bora tangu arejee katika majukumu yake na PSG na kocha wake Thomas Tuchel anatarajia kuendelea kuyaona makubwa hayo dhidi ya Atalanta katika Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Neymar ametupia kambani katika michezo yote ya UEFA dhidi ya Borrusia Dortmund katika hatua ya 16 bora.

 

Neymar Fit kuwavaa Atalanta - Tuchel.

Amekuwa kwenye kiwango kizuri tangu kurejea kwa michuano baada ya ‘lockdown’ huku akifunga katika michezo ya kirafiki dhidi ya Le Havre, Waasland-Beveren na Celtic.

Pia alifunga bao la ushindi kwenye mchezo muhimu wa fainali ya Coupe de France dhidi ya Saint-Etienne mwezi uliopita.

“Anapenda mechi kubwa na anapenda kuamua mechi. Ni mchezaji unayepaswa kumuamini katika michezo mikubwa”.

 

Neymar Fit kuwavaa Atalanta - Tuchel.

“Nina imani kuwa ataonesha kiwango bora na ndiye mwenye funguo zetu za ushindi, ana uzoefu na nyakati kama hizi” aliongeza Tuchel.


Umekuwa mteja muaminifu wa meridianbet? Basi fahamu kuwa kuna zawadi kibao hadi 5% ya pesa yako inarejeshwa kwako. Kila wiki unaweza kurudishiwa mpaka Tsh 250,000.

Soma zaidi

38 Komentara

    Asante meridianbet kwa habari njema

    Jibu

    Asante meridianbet kwa makala nzuri

    Jibu

    Ni habar njema sna!

    Jibu

    Habar njema kwa mashabik wa psg Kama fundi wao wa mpr hatakuwep

    Jibu

    Ni habari njema sana#Meridianbettz

    Jibu

    Habari njema lazima Neymar atakiwasha tu

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki wa Soka

    Jibu

    neymar yuko vizuri sana na pia kutokana na kocha wake hodali naamini tutapata mengi zaidi #meridianbet

    Jibu

    Neymar ni mchezaji mzuri Sana tatizo majeruhi ya Mara kwa Mara yanamkwamisha.

    Jibu

    Neymar atafanya makubwa haswa kipindi hiki cha Uefa

    Jibu

    Neymar ni mchezi mahili

    Jibu

    habari njema kwa mashabiki wa psg

    Jibu

    Neymar ni mchezaji mzuri sana ninaweza sema hivyo kwa sababu anauwezo wa kuwa kama messi na ni nafikiri kuwa atafanya mabadiliko kwenye mchezo wa leo

    Jibu

    habari njema#meridianbettz

    Jibu

    Neymar tunakuamini usituangushe.

    Jibu

    Neymar kinachomfanya asiwe na muendelezo wa kiwango chake na kufikia Yale mafanikio ya kina Messi na Ronaldo Ni majeruhi ya Mara kwa Mara.

    Jibu

    Neymar anatakiwa kusaidia PSG kushinda kutimiza kusudi la usajiri wake la kusaidia timu ktk Ligi hii muhimu barani Ulaya#meridianbettz

    Jibu

    Siku zote neymar yupo vizuri kimchezo akuna clabu yoyote hambayo haimtaki neymar

    Jibu

    Neymer mchezaji mahili sana PSG watafanya vizuri kwenye mchezo huo

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Neymer yupo vizuri ninaimani ataendelea atafanya mazuri zaidi

    Jibu

    Neymar anajiami sana

    Jibu

    Hii mech itakuwa kal sana kwan Atalanta nao wamejianda vzur sana

    Jibu

    Hongera Sana neymar

    Jibu

    Gud to hear this from him

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Hongera neymar!!!

    Jibu

    Neymar hongera

    Jibu

    Neymer Yuko vizuri
    @meridianbettz

    Jibu

    Neymer hatar tupu

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Safii Sana Neymar kwasasa anakijua Nini anafanya jembe hilo

    Jibu

    Tuchel anatakiwa aangalie pia mchango wa Mbappe kwenye timu, Binafsi Mbappe ndio chachu kubwa ya ushindi wa PSG

    Jibu

    Neyma anakipaji sana.

    Jibu

    Good news

    Jibu

    neymar yupo fiti sana ata alipo ikabili atalanta alionesha umahili wake mpaka kuupata ushindi

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Neymar Anajua sana basi tu

    Jibu

Acha ujumbe