Kulingana na Jarida la Ufaransa la L’Équipé limeandika mshambuliaji wa Paris Saint-Germain, Neymar Junior yupo tayari kuongeza mkataba na miamba hiyo na atasaini katika siku chache zijazo.

Makubaliano hayo baina ya pande mbili yamefikiwa miezi iliyopita na imethibitishwa: Mchezaji huyo atasaini hadi Juni 2026 na Paris Saint-Germain.

 

neymar, Neymar Yupo Tayari Kuongeza Mkataba PSG., Meridianbet

Mshahara wa Neymar utakuwa karibu € 30m baada ya ushuru kwa miaka 5, pia atapata ‘bonasi kubwa’ endapo PSG itashinda Ligi ya Mabingwa Ulaya katika miaka ijayo Neymar akiwepo katika timu hiyo.

PSG pia wanaandaa tangazo kubwa la kusherehekea kumtambulisha Mshambuliaji huyo kuendelea kusalia Paris tena.

Bado kuna makubaliano ya * HAPANA * na Kylian Mbappé. Mazungumzo yanaendelea kuongeza pia mkataba wake, PSG imefanya kila kitu muhimu lakini Mbappé bado hajakubali. Al Khelaifi atajaribu tena. 🇫🇷


TENGENEZA FAIDA KUPITIA MCHEZO WA TITAN DICE UKIWA NA MERIDIANBET KASINO

Unapokuwa kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, huna sababu ya kucheza kwa mashaka. Titan Dice, ni mchezo unaweza kukupatia mamilioni kwa mzunguko mmoja!

neymar, Neymar Yupo Tayari Kuongeza Mkataba PSG., Meridianbet

SOMA ZAIDI

8 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa