NFL : Tom Brady Kustaafu Baada ya Misimu 22.

 

Mshindi mara saba wa Super Bowl ya michuano ya NFL, Tom Brady anatarajiwa kutangaza kustaafu baada ya kudumu katika mashindano hayo kwa misimu 22.

 

Wakala wa Brady Don Yee amekataa kuthibitisha au kukanusha kuwa Brady atastaafu NFL na anasema mchezaji huyo wa pembeni atatoa tangazo rasmi hivi karibuni.

“Ninaelewa tetesi zilizopo juu ya mustakabali wa Tom,” Yee alisema.

“Bila ya kuingia kwenye usahihi au kutokuwa sahihi kwa kile kinachoripotiwa, Tom ndiye atakuwa mtu pekee wa kueleza mipango yake kwa usahihi kabisa. Anafahamu uhalisia wa kalenda ya biashara na mipango ya soka pamoja na mtu yeyote, hivyo inapaswa kuwa hivi karibuni.”

Kampuni ya usimamizi ya Brady iliweka habari za kustaafu kwake mtandaoni, ikitweet ‘7 Super Bowl Rings, 5 Super Bowl MVPs, 3 League MVP Awards, 22 Incredible Seasons, Asante kwa yote Tom Brady’. Baadaye walifuta tweet, wakati NFL ilitangaza kustaafu kwake pamoja na heshima kwa mchezaji huyo wa miaka 44.


VUNA MKWANJA NA KENO

Dakika tano pekee zinakutosha kuwa mmoja wa washindi wa mkwanja mrefu ndani ya kasino pendwa ya meridianbettz katika sloti maridhawa ya KENO, moja ya michezo inayoipa thamani dau lako.

tetesi, Tetesi za Soka barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe