Nice imemsajili mshambuliaji wa Arsenal Nicolas Pepe kwa mkopo wa msimu mzima.

nicolas pepe, Nicolas Pepe Ajiunga na Nice kwa Mkopo., Meridianbet

Mkataba wa mchezaji huyo wa kimataifa wa Ivory Coast mwenye umri wa miaka 27 haujumuishi chaguo kwa klabu hiyo ya Ligue 1 kufanya mkataba huo kuwa wa kudumu.

nicolas pepe, Nicolas Pepe Ajiunga na Nice kwa Mkopo., Meridianbet

Pepe, ambaye amebakiza miaka miwili kwenye mkataba wake Arsenal, alihamia Emirates kutoka Lille kwa dau lililoweka rekodi ya klabu kwa paundi £72m mwaka 2019 na amefunga mabao 27 katika mechi 112 akiwa na The Gunners.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa