Nienov Kocha wa Makipa Simba SC.


Klabu ya Simba SC imekamilisha usajili wa kocha wa makipa Milton Nienov raia wa Brazil kuchukua nafasi ya Mohamed Mwalami aliyefutwa kazi tangu October 29 mwaka Jana.

 

Simba SC ilimtambulisha kocha huyo katika kurasa zake za kijamii jana jioni baada ya kufikia makubaliano ya kukinoa kikosi hicho chenye makazi yake msimbazi.

Nienov ambaye amewahi kuzifundisha timu za Free State, Polikwane na Golden Arrows za Afrika kusini yupo jijini Dar Salaam muda wowote kuanzia sasa ataanza kazi kuwa kocha wa makipa wa klabu ya Simba kwa mkataba wa miaka miwili.


USHINDI UPI NI MKUBWA KWAKO, £2,000,000? 🤑

Pokea mualiko wa Meridianbet na Pragmatic Play kutengeneza mkwanja kwenye kasino ya mtandaoni sasa. Jiunge sasa kupata ishindi huu.

INGIA MCHEZONI

14 Komentara

    Milton tunasubiri tuone maajabu yako hapo Simba

    Jibu

    Tunatakaa tuone mabadiliko

    Jibu

    Sisi kama mashabiki tunasubiri tuone maajabu

    Jibu

    Karibu san multon simba sport is

    Jibu

    Tunataka tuone maajabu

    Jibu

    Mabadiliko katika timu ndo Jambo la msingi

    Jibu

    Kila lakheri kwake

    Jibu

    Ngoja tuone

    Jibu

    Simba wawekuja kivingine sana ngoja tuone safari yao itakuaje, Pongezi kwao

    Jibu

    Cjaelewa hapa

    Jibu

    Vizuri Sana

    Jibu

    Ajitahidi tu

    Jibu

    Macho ya mashabiki yote yapo kwako tunasubiri tuone utendaji wako

    Jibu

    Ngoja tuone

    Jibu

Acha ujumbe