Luis Suarez: Nililia kwa Sababu ya Kilichokuwa Kinaendelea

Aliyekuwa nyota wa Barcelona, Luis Suarez, amebainisha sababu iliyomfanya amwage machozi alipokuwa anaondoka Barcelona kuelekea Atletico Madrid.

Suarez anasema zilikuwa ni siku ngumu sana kwake, na alikuwa analia kwa sababu ya Kilichokuwa Kinaendelea, namna ambayo Barcelona walikuwa wanamfanyia katika siku zake za mwisho klabuni hapo.

Nyota huyu alimaliza miaka yake sita ya kuitumikia Barcelona, na aliachishwa kufanya mazoezi pamoja na kikosi kizima kabla ya kukamilisha taratibu za uhamisho.

Luis Suarez: Nililia kwa Sababu ya Kilichokuwa Kinaendelea
Suarez akiwa Aletico Madrid
“Siku zile zilikuwa ngumu kwa sababu ya kile nilichokuwa napitia. Niliumizwa kwa kila namna lakini kuna wakati inabidi kukubali pale safari inapofika mwisho.” -Luis Suarez

Luis Suarez alijiunga na Liverpool mwaka 2014 kwa ada ya £74m, tangia hapo alishika nafasi ya 3 ya wafungaji bora wa wakati wote klabuni hapo. Amefanikiwa kushinda mataji 4 ya LaLiga, na Ligi ya Mabingwa.

Nyota huyu anaona hakuthaminiwa, na kupewa heshima ambayo alistahili Barcelona nyakati zake za mwisho.


Weka Pesa kwa Airtel Money!

Sasa unaweza kuweka pesa moja kwa moja kwenye akunti yako ya Meridianbet kwa kutumia mtandao wa Airtel. Usipate wasi wasi, tunaifanya kazi kuwa rahisi zaidi!

Soma Zaidi

31 Komentara

    Nadhani Barca watakuja kumkumbuka Suarez sidhani kama Mzimu wa Suarez utawaacha salama

    Jibu

    Polee

    Jibu

    Pole sana

    Jibu

    Kila la kheri Suarez kambanie na uko heshima yako Barcelona hitabaki pale pale sizani kama history yako hitafutika

    Jibu

    Suarez atakumbukwa daima barca

    Jibu

    Amefanya makubwa lakn Barca awakump eshima yake

    Jibu

    Duu pole Sana Suarez

    Jibu

    barcelona watamkumbuka daima suarez kwa mchango wake mkubwa

    Jibu

    Barca haikumfanyia haki suarez alijitoa kwa timu saan

    Jibu

    Pole Sana Suarez

    Jibu

    Pol

    Jibu

    Pole sana suarez

    Jibu

    Suarez atakumbukwa sana Barcelona

    Jibu

    Suarez alikuwa na mapenzi ya zati na Barcelona

    Jibu

    Pole sana

    Jibu

    pole yake

    Jibu

    mmmh

    Jibu

    Suarez ushirikiano wake na mess ulifanya fowad ya barca kupata magoli mengi sana

    Jibu

    Tenda wema nenda zako hayo ndo maisha ya mpira fadhila badae sana

    Jibu

    Pole sana suarez

    Jibu

    Pole sana Suarez. Barcelona hawakumfanyia fresh. Shukrani ya punda ni mateke

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Pole suarez umuhim wao Barcelona Ni mkubwa san

    Jibu

    Pole sana

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Duuh pole sana

    Jibu

    Barca watakuja kumkumbuka Suarez

    Jibu

    Suarez alikuwa na mchango mkubwa Sana Barcelona watamkumbuka

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Mambo hayooo

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

Acha ujumbe