Nottingham Forest wanamuwinda beki wa kushoto wa klabu ya Athletico Madrid ya nchini hispania kwa mkopo na chaguo la kumnunua jumla.

Klabu ya Athletico ina mpango wa kubadilisha mchezaji kwenye upande huo na wako tayari kumuachia beki huyo wa kushoto raia wa Brazil kama oda nzuri ya mkopo itakuja mezani. Huku macho yao wakiyaelekeza kwa beki wa kushoto Tottenham Hotspurs Sergio Reguilon kama mbadala sahihi wa beki huyo kibrazil.

nottingham, Nottingham Wamuwinda Renan Lodi., Meridianbet

klabun ya Nottingham klabu hiyo iliopanda daraja msimu huu inaonekana ipo kwenye nafasi nzuri ya kumpata beki huyo.

Klabu hiyo inayoshiriki ligi kuu ya Uingereza imefanya usajili mkubvwa wa wachezaji zaidi ya kumi ikia timu iliofanya usajili wa wachezaji wengi katika kuimarisha kikosi chake.

Katika wakati huu bado wanaendelea kuimarisha kikosi chao na wamerudi sokoni kuhitaji saini ya Renani lodi kutoka Athletico Madrid.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa