Mcheza Tenisi namba moja kwa ubora duniani, Novak Djokovic anatarajia kuvaana na Carlos Alcaraz katika mashindano ya Monte Carlo Masters unaotarajiwa kupigwa Jumanne, April 12.
Djokovic, 34 anaongoza kwa ubora duniani kwasasa dhidi ya bingwa mara 11 Rafael Nadal ambaye anauguza jeraha la kuvunjika mbavu.
Mchezaji huyo atacheza mashindano yake ya pili kwa mwaka huu kule Monte Carlo baada ya kuzuiwa kushiriki mashindano ya Australian Open baada ya kugoma kupata chanjo ya Covid-19.
Mashindano yake ya mwisho kuchezi yalikuwa Dubai Tennis Championship ambapo alitolewa katika hatua ya robo fainali na Jiri Vesely.
Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.