Everton bado wanahaha kumtafuta mbadala wa Carlo Ancelotti baada ya kocha huyo kuamua kurudi Real Madrid. Nuno Espirito Santo anaendelea kutajwa.

Baada ya kushindwa kufikia makubaliano na Crystal Palace na maongezi ya kujiunga na klabu hiyo kusitishwa, Nuno anahusishwa na kibarua cha Everton. Japokuwa, sio Santo tu anayetajwa kama mrithi wa Ancelotti.

David Moyes na Rafael Benitez pia wanahusishwa na Everton lakini ni wazi, baada ya Moyes kusaini mkataba mpya wa miaka 3 kuendelea kubaki West Ham United na sintofahamu kuhusu Benitez, huenda Santo akatua Goodison Park akitokea Molineux.


WEKA PESA KUPITIA DUKANI MERIDIANBET!

Chukua namba yako ya akaunti na kiasi cha pesa unachotaka kuweka, sogea kwenye duka lolote la Meridianbet lililo karibu nawe utasaidiwa kuweka pesa.

Weka Pesa Meridianbet

WEKA PESA

2 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa