Nuno Espirito Santo; El Sackico Imetiki.

Kama ilivyotarajiwa na wengi, aliyekuwa kocha wa Tottenham Hot Spurs, Nuno Espirito Santo apigwa na kitu kizito. Kibarua chake kimeota mbawa.

Mchezo wa wikiendi iliyopita kati ya Spurs vs Man United, ulipewa jina la ‘El Sackico’ kutokana na vuguvugu la kufukuzwa kazi kati ya Nuno na Ole Gunnar Solskjaer. Nani ni nani, sasa yametimia.

Nuno Espirito Santo

Baada ya kupoteza mchezo dhidi ya United, uongozi wa Spurs ukiongozwa na mmiliki, Daniel Levy ulifanya kikao cha haraka na sasa, maamuzi ya kikao yamewekwa wazi. Santo amefukuzwa kazi rasmi.

Taarifa rasmi kutoka Spurs imeripoti;

Leo klabu inathibitisha kuwa, Nuno Espírito Santo na benchi lake la ufundi Ian Cathro, Rui Barbosa na Antonio Dias, wameachishwa kazi. Taarifa nyingine kuhusu kocha, zitatolewa baadae.


MKWANJA WA KUSHATO NA AURORA BEAST HUNTER!

Mkwanja umetema ndani ya kasino za meridianbettz, Mchezo maridhawa wa Aurora Beast Hunter unakupa nafasi sawa ya ushindi leo hii, kila mzunguko una nafasi ya kuibuka mshindi, na mkwanja wako unaupata kila mzunguko utakapo kamilika.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe