Gemu kali ya Real Sociedad dhidi ya Real Betis imewafikia watazamaji zaidi ya Laki 5 kupitia TikTok, ikiwa ni mechi ya kwanza kabisa kutioka ligi kubwa ulaya kuoneshwa live kupitia chaneli ya ya GOL.
Mechi hii iliyorushwa mubashara ilikuwa na watzamaji 733,000, na gumzo 68,000 na kushirikisha mara 7000 huku waliopenda kurushwa kwa matangazo hayo ya soka ya moja kwa moja wakifikia milioni 1.2.
Mechi hii iliongezwa radha na watangazaji Nacho Hernáez na Carla Gabián, ambao wana ushawishi mkubwa kwenye mtandao wa huo kwa sasa.
Matangazo kupitia TikTok yalianza mapema, dakika 30 kabla ya mechi kuanza, wakati timu zikijiandaa kuingia dimbani.

Mkurugenzi wa masoko wa MEDIAPRO amenukuliwa akisema: “Mpango huu wa TikTok na LaLiga unasaidia kujitolea kwa MEDIAPRO kwa maudhui yaliyobadilishwa kwa mfumo mpya wa dijitali, na kuwapa mashabiki wa soka wa Uhispania uzoefu wa ubunifu na njia mpya za kushiriki na kutoa mrejesho.”
Pia, Alfredo Bermejo, mkurugenzi wa mikakati ya kidijitali wa LaLiga, anasisitiza kwamba “Inajumuisha LaLiga kupiga hatua moja zaidi katika kutafuta watazamaji wapya na kulisogeza soka kwa watazamaji wote.”
“Makubaliano haya na TikTok ni uthibitisho wa kazi inayofanywa na LaLiga na MEDIAPRO katika misimu ya hivi karibuni ili kuendelea kuunda thamani na ubunifu katika matangazo ya mechi.”
Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.