Mchaka mchaka wa Ligue 1 umeanza unaanza wiki hii ya ufunguzi. Sasa timu zote zinarejea wachezaji wakiwa wametumia mda mwingi wa kupumzika, na pia kujiandaa na msimu mpya baada ya PSG kupewa ubingwa msimu uliopita. Mechi zote zina Odds kubwa hapa Meridianbet
Hapa nimekuwekea maelezo ya kila mechi kwa kifupi na link za odds bomba za ubashiri kwa mechi hizi za League 1 za wikiendi hii ya ufunguzi.
Dijon vs. Angers: Odds: Odds -Beti Hapa
Dijion wanafungua kampeni ya Ligue 1 leo Jumamosi wakiingia ugenini kwa Angers. Dijion walimaliza katika nafasi ya 16 msimu uliopita, wakati angers wakimaliza katika nafasi ya 11. Baada ya kuponea chupu chupu kushuka daraja, Dijon watakuwa na mpango wa kuepusha hilo msimu huu.
Vikosi tarajiwa
Dijon: Runarsson; Chafik, Manga, Lautoa, Muzinga; Ndong, Cheikh; Ebimbe, Sammaritano, Chouiar; Tavares
Angers : Bernardoni; Bamba, Traore, Thomas, Doumbia; Santamaria; Thioub, Fulgini, Mangani, Capelle; Bahoken
Lille vs. Rennes: Odds -Beti Hapa
Lille walimaliza msimu wakiwa kwenye nafasi ya 4, wakiwa na tofauti ya pointi moja tu na Rennes ambao walimaliza nafasi ya tatu na kufuzu kuingia Ligi ya Mabingwa. Hii ni moja ya mechi kali za ufunguzi.
Vikosi Tarajiwa
Lille : Maignan; Celik, Fonte, Botman, Bradaric; Ikone, Andre, Sanches, Bamba; David, Yilmaz
Rennes: Mendy; Traore, Da Silva, Aguerd, Maouassa; Camavinga, Bourigeaud, Martin; Raphinha, Niang, Terrier
Monaco vs. Reims: Odds -Beti Hapa
Wenyeji Monaco walimaliza msimu wakiwa nafasi ya tisa, kabla ya janga lililosimamisha kila kitu ulimwenguni na kupelekea msimu kusimama. Wakati huo, wageni wao walimaliza katika nafasi ya sita, na kuwepo katika safari ya kuelekea Ligi ya Europa msimu huu.
Monaco watataka kutumia nafuu ya kuwa wenyeji katika kuhakikisha wanasalia na point 3 wakati Reims wakipania kuongeza moto zaidi ya msimu uliopita.
Vikosi tarajiwa
Monaco: Lecomte; Aguilar, Badiashile, Disasi, Ballo-Toure; Tchouameni, Fofana, Golovin; Martins, Ben Yedder, Onyekuru
Reims : Rajkovic; Foket, Faes, Abdelhamid, Konan; Munetsi, Chavalerin; Cafaro, Berisha, Zeneli, Dia
Lorient vs. Strasbourg: Odds -Beti Hapa
Lorient wanarejea League 1 wakiwa wenyeji dhidi ya Strasbourg msimu wa 2021. wakati huo Strasbourg wao wamefanikiwa kuingia msimu wa 4 mfululizo wa Ligue 1, na wameweza kumaliza katika 10 bora msimu ulioisha wa 2019/20.
Vikosi tarajiwa
Lorient : Nardi; Mendes, Laporte, Fontaine, Le Goff; Lemoine, Fee; Diarra, Boisgard, Wissa; Bozok
Strasbourg : Kamara; Lala, Djiku, Simakan, Carole; Sissoko, Bellegarde, Lienard; Thomasson; Ajorque, Waris
Nice vs. Lens: Odds -Beti Hapa
Lens wanarejea kwa mara ya kwanza Ligiue 1 tangia mwaka 2014-15, wanafungua kampeni kwa kuwa wageni wa Nice, ambao walifanikiwa kumaliza katika nafasi ya 5 kwa msimu wa 2019/20.
Vikosi Tarajiwa
Nice : Benitez; Dante, Danilo, Bambu; N’Soki, Maurice, Lees Melou, Schneiderlin, Burner; Dolberg, Maolida
Lens : Leca; Fortes, Diallo, Radovanovic; Boli, Doucoure, Fofana, Michelin; Sotoca, Kakuta, Jean
Nimes vs. Brest: Odds- Beti Hapa
Nimes watakuwa wanausaka ushindi wa tano mfululizo kwa michuano yote, pale wanapokutana na Brest kwenye wikiendi hii ya ufunguzi wa Ligi ya Ufaransa. Kulikuwa na wasi wasi juu ya mechi hii kuchezwa baada ya baadhi ya wachezaji wa Nimes kupatikana na visa vya corona.
Vikosi tarajiwa
Nimes : Reynet; Ripart, Landre, Birancon, Meling; Deaux, Cubas; Philippoteaux, Benrahou, Ferhat; Roux
Brest : Larsonneur; Pierre-Gabriel, Herelle, Duverne, Perraud; Honorat, Diallo, Battocchio, Tavares; Cardona; Charbonnier
Drops and Wins!
Umeijua hii? Ni promosheni kabambe ya ushindi kwenye Casino ya mtandaoni ya Meridianbet! Unaweza kushinda hadi Euro 2,000,000 leo.
magdalena
mambo yanazidi kuwa mazuri upande huu
Sadick
Ligi ya double chance inarejea maana ktk yeyote anaweza kushinda#meridianbettz
Sauda
Mambo safiiiiii…
Ernest
Kumekucha kumekucha ndani ya League 1 mambo kupamba moto
Dorophina
Mambo yanaendelea kuwa mazuri ndani ya league 1
felister
uku kumeshaanza kutaradadi
Neema
Waooo safii sana
Issa
Ligue 1 ni safi turudi mchezoni
Khadija
Mambo yanazid kuwa moto ndani ya ligue 1#meridianbettz
Mwanahamisi
Mambo mareshi na # meridianbet
Nasra
Mambo yamezidi kunoga
Tatu
Ligue 1 imeludi mda wa kutengenrza mikwanja
Zeiyana
Haya mambo ndio tuliyo kua tunayasubir kwa hamu sana
Mwajumah
Mambo yamezidi kunoga tu
Saupha mohamed
Mambo yanazid kua moto
Lydia Emmanuel Magoti
Mambo mazuri na meridian hisini pite hii pesa nje nje
Caroline
Leauge one imerejeaa woyoooo
Adelta
Mambo Ni 🔥🔥
@meridianbettz
Amiri Kayera
Kwa wapenz wa league 1
Janeflora malisa
Nice
aisha
Duuh mambo yanazidi kuwaka
Hope mwaikuka
Jambo lenu limeeleweka na lko vzie kwetu mashabk
Povel
Mambo ni moto kwa wazee wa jamvi
Rehema
Hii habari mzuri
Gabriel
Mech za kibabe sana na za kupiga mpunga mnene
Devotha
Mechi nzuri sana kwa kupiga pesa
Rose kapinga
Mambo ya Kulala masikini kuamka tajir ndan ya legue 1
Shafii
Mambo yashaanza kuiva huko ligi 1 wadau wa mikeka niwakati wetu sasa.
Salma ngende
Mko vizuri meridian
Omary lukumbi
Ligie imeanza na moto
David Pere
Mambo yashaanza kuiva huko ligi 1 wadau wa mikeka niwakati wetu sasa.
Ester jackson
Habari njema
farida ahmadi
Mwendo wa pesa njenje
Samiah
Nice
Furahav
Nijambo zuri.
Sabrina
Odds zinamashiko
Latifa juma mohamed
Odds za kusisimua.
warda
Ila nyie meridian Kwa odds mnatisha sana
Omary lukumbi
Kweli kabisa klopp