Okwi Akutwa na Corona

Emmanuel Okwi mshambuliaji wa kikosi cha Al-Ittihad ya Misri amekutwa na Virusi vya Corona hivyo atakosa mechi kadhaa ndani ya Ligi Kuu ya Misri.

Raia huyo wa Uganda ambaye amecheza pia Ligi Kuu Bara ambapo alicheza ndani ya Simba kwa wakati tofauti pia alicheza kikosi cha Yanga atakosa mchezo pia dhidi ya Pyramids FC baada ya kukutwa na Corona.

Mabosi wa Al-Ittihad wamethibitisha kwamba Okwi ana Corona na hayupo nchini Misri kwa sasa bado yupo Uganda.

“Safari ya kurejea kwa mshambuliaji wetu ambaye anacheza timu ya taifa ya Uganda imesimamishwa baadaye kukutwa na Corona.

“Matokeo hayo ameyapata akiwa nchini Uganda kwani bado hajarejea nchini Msiri nasi tunamuombea apone haraka,” ilieleza taarifa ya klabu.

Okwi alikuwa na kikosi cha timu ya taifa ya Uganda kilichokuwa zikisaka tiketi ya kufuzu Afcon ambapo timu yao ipo kundi B.


MALIZA MWAKA KIBINGWA KWA KUJISHINDIA SHEA YAKO KWENYE SHILINGI 140,000,000TSH!!

Kipindi hiki cha sikukuu kinamalizika kwa namna ya kipekee. Shilingi 140,000,000 kushindaniwa katika michezo ya Evolution kwenye Kasino Mubashara ya Meridanbet. Ingia mchezoni na ujiwekee nafasi ya kushinda shea yako!!!

SOMA ZAIDI

16 Komentara

    Duu pole yake Okwi

    Jibu

    Okwi pole Sana ukizingatia mashart
    Utapona usiogope

    Jibu

    Pole sana okwi

    Jibu

    Ugua pole Okwi

    Jibu

    pole sana okwi

    Jibu

    Corona janga la hatari sana linazidi kutesa ulimwengu

    Jibu

    Namukumbuka kwa mchango wake mkubwa club ya Simba ambako alicheza kwa mafanikio makubwa

    Jibu

    Habar mbaya hyoo

    Jibu

    Pole sana

    Jibu

    Pole yake okwi

    Jibu

    Pole sana okwi

    Jibu

    Korona sio poa

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Pole yake Okwi wangu

    Jibu

    Pole sana okwi

    Jibu

    Pole sana okwi

    Jibu

Acha ujumbe