Ole Gunnar Solskjaer HAONDOKI Man United!

Maumivu ya kupoteza mchezo dhidi ya Liverpool ndani ya Old Trafford, yameongeza hisia kali za mashabiki kutaka Ole Gunnar Solskjaer kuondolewa United. Haitatokea!

Baadhi ya mashabiki na wachambuzi wa soka kupitia vyombo vya habari, wamekuwa wakiongeza vuguvugu la kuitaka United kumuondoa Solskjaer kwenye nafasi yake ya kuiongoza The Red Devils. Mpaka sasa, uongozi wa United haujasema lolote kuhusu hilo.

Kupitia vyanzo vya kuaminika, uhalisia ni kwamba, Ole Gunnar Solskjaer HAONDOKI Manchester United licha ya matokeo mabovu kwenye michezo ya hivi karibuni.

United wamepoteza michezo 5 kati ya 9 waliyocheza hivi karibuni na inasemekana, baadhi ya wachezaji pia hawana imani na Solskjaer. Hakika, huu ni wakati mgumu kwa Solskjaer na mashabiki wa United.


KUSANYA MKWANJA NA BIG BAD WOLF

Mchezo wa Big Bad Wolf ni moja ya michezo pendwa katika kasino zetu za meridianbet. Ukiachana na tabasamu utakalolipata wakati wa kucheza pia unajiwekea nafasi ya kuwa mshindi wa mkwanja mrefu unaotoka kila baada ya mzunguko kukamilika.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

Acha ujumbe