Michezo ya Olimpiki ya mjini Tokyo inaweza kufanyika tu mwaka ujao iwapo hali ya virusi vya corona itakuwa nzuri hadi wakati huo, kulingana na kamati ya matayarisho.
Olimpiki ya mjini Tokyo inaweza kufanyika tu mwaka ujao iwapo hali ya virusi vya corona itakuwa nzuri hadi wakati huo, mkuu wa kamati ya matayarisho Yoshiro Mori alikiambia kituo cha utangazaji cha NHK Jumatano.
Mori amesema haiwezekani kuendesha michezo hiyo iwapo hali itaendelea kuwa kama ilivyo, na kuongeza hafikiri iwapo hali hii itaendelea kwa mwaka mwingine.
Michezo hiyo ambayo ilikuwa kimsingi ifunguliwe siku ya Ijumaa , iliahirishwa mwezi Machi kwa miezi 12 kutokana na janga la virusi vya corona.
Tokyo hivi karibuni umeshuhudia idadi ya maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 ikiongezeka tena.
Mori amesema kuwa upatikanaji wa chanjo ndio itakuwa ufunguo wa kufanyika michezo hiyo mwaka 2021, na iwapo michezo hiyo itafanyika ama la itategemea iwapo binadamu wataweza kulishinda janga hilo.
Kwa sababu ya thamani ya pesa yako, kwa kila muamala unaofanya wa kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet unapata 5% bonasi.
Neema juma
Kwa kweli hili janga la corona linarudisha mambo mazurii nyuma ila hatuna jinsi tukubaliane na matokeo
Rose kapinga
Ni sawa tuu maana Kinga ni Bora kuliko tiba!
Ester jackson
Corona inarudisha nyuma michezo sana hadi mwakani ila tutasubiri tu kiafya zaidi inatakiwa
Njiku
Hii corona hii Dah acha tusubiri tu
Ernest
Hii ni habari njema kwa wanamichezo maana watapata fursa ya kufanya yao kwenye nyanja ya michezo
Dorophina
Janga hili la corona limeyumbisha uchumi wa kila nchi kufanya Mambo mengi yamesimama
Fatina mfingi
Ili janga ni hatar
Lydia Emmanuel Magoti
Nivizuri tuu Kujikinga kabla ya tari
Magdalena
Hii ugonjwa umeharibu kila mipango ilokuwa imepangwa
caroline
corona hii ni endelevu haiishi leo wala kesho .mtaahirisha adi mkome
Theckla
Sio mbaya
Issa
Corona imevuruga mipango mingi sana
Sylvester
Michezo ya Olympic tumeimis sana Corona bora itulie ili iweze kufanyika mwakani
farida ahmadi
Sio mbaya kikubwa afya ni kitu cha muhimu
Zeiyana
Corona imealibu mambo
Khadija
Duuh harati sana#meridianbettz
Fatuma kasomo
Habar nzuri kwa wanamichezo
Shafii
Ni jambo zuri Sana maana wapenzi wa michezo hii tulijua itachukua mda Sana juu ya janga hill la corona.
Theonestina
Corona Sio poa kabisa
mwajumah
Duuh corona ni atari iliharibu mipango
Gabriel
Utafiti wa NHK juu ya mashindano ya Olimpiki ya Tokyo yaliyoahirishwa kwa mwaka mmoja umebaini kwamba mashirikisho ya michezo yanatarajia waandaaji kuamua angalau miezi sita kabla ya tarehe ya ufunguzi iwapo mashindano hayo yatafanyika.
Leo Alhamisi unatimia mwaka mmoja hadi kufikia ufunguzi wa mashindano hayo mwakani, ambayo yamecheleweshwa kwa sababu ya janga la virusi vya korona.
NHK ilipeleka madodoso ya utafiti kwa kamati za Olimpiki kote duniani na mashirikisho ya michezo ya kimataifa mnamo Juni na Julai.
Kati ya kamati 206 za Olimpiki, 19 zilijibu madodoso hayo. Kati ya mashirikisho 33 ya kimataifa ya michezo, 3 yalijibu.
Walipoulizwa uamuzi wa mashindano hayo kufanyika unapaswa kufikiwa lini, makundi 16 kati ya 22 yaliyojibu yalisema uamuzi unapaswa kufikiwa angalau miezi sita kabla ya tarehe ya ufunguzi.
NHK iliuliza ikiwa mashindano hayo hayawezi kufanyika msimu ujao wa joto, yafutwe au yaahirishwe tena.
Kamati tano za maandalizi ikiwa ni pamoja na Uganda, zilisema uahirishaji mwingine ni bora zaidi kwa wanamichezo, ambao wana fursa ya mara moja tu maishani.
Kamati 15 zilijibu kwamba mashindano hayo yanapaswa kufutwa zikisema zinahitaji kujiandaa kwa mashindano ya msimu wa baridi ya Beijing 2022 ambayo yataanza miezi saba baadaye.
Hivyo n habar njema sana 👍
Rehema
Corona hatari
Tatu
Habari mzuri kwa mashabiki wa michezo tuliimic
Furahav
Safi
Hope mwaikuka
Mungu atajalia heri itafanyika tu
Samiah
Nihabari njema kwa mashabiki
Adelta
Corona sio poa kabisa
felister
hii yote imesababishwa na corona ata ivy mwakani sio mbali
Janeflora malisa
Corona ttz
Johnmary joel
Maamuzi mazuri ili wapate kujipanga vzuri#meridianbett
Mwanahamisi
Colona noma
Saupha mohamed
Corona no balaaa
Sadick
Olympics ni michezo yenye historia ndefu sana duniani. Inasemakana awali Wagriki ambao ni waanzilishi walishiriki wakiwa uchi wa mnyama#meridianbettz
Gabriel
Utafiti wa NHK juu ya mashindano ya Olimpiki ya Tokyo yaliyoahirishwa kwa mwaka mmoja umebaini kwamba mashirikisho ya michezo yanatarajia waandaaji kuamua angalau miezi sita kabla ya tarehe ya ufunguzi iwapo mashindano hayo yatafanyika.
Leo Alhamisi unatimia mwaka mmoja hadi kufikia ufunguzi wa mashindano hayo mwakani, ambayo yamecheleweshwa kwa sababu ya janga la virusi vya korona.
NHK ilipeleka madodoso ya utafiti kwa kamati za Olimpiki kote duniani na mashirikisho ya michezo ya kimataifa mnamo Juni na Julai.
Kati ya kamati 206 za Olimpiki, 19 zilijibu madodoso hayo. Kati ya mashirikisho 33 ya kimataifa ya michezo, 3 yalijibu.
Walipoulizwa uamuzi wa mashindano hayo kufanyika unapaswa kufikiwa lini, makundi 16 kati ya 22 yaliyojibu yalisema uamuzi unapaswa kufikiwa angalau miezi sita kabla ya tarehe ya ufunguzi.
NHK iliuliza ikiwa mashindano hayo hayawezi kufanyika msimu ujao wa joto, yafutwe au yaahirishwe tena.
Kamati tano za maandalizi ikiwa ni pamoja na Uganda, zilisema uahirishaji mwingine ni bora zaidi kwa wanamichezo, ambao wana fursa ya mara moja tu maishani.
Kamati 15 zilijibu kwamba mashindano hayo yanapaswa kufutwa zikisema zinahitaji kujiandaa kwa mashindano ya msimu wa baridi ya Beijing 2022 ambayo yataanza miezi saba baadaye.
Hivyo n habar njema sana 👍
Zuhura omary kindamba
Du corona ni ugonjwa hatali unaludisha nyuma maendeleo
lombo
mungu atasaidia mambo yatakuwa poa tu
sabrina
Duuuh sawa tuu tunasubiri mwakani
devotha
Corona janga limeleta balaa sana
Omary lukumbi
Yote kher kinga bora kuliko tiba
neema hassan
Mashabk tunasubr kwa hamu
Genia Sikaluzwe
Corona siyo poa kabisa
David Pere
Ni habari nzuri kwa wanamichezo ambao walichagukiwa kushiliki
Isaya massawe
Tuliisubiri mwaka huu lakin corona imeharibu ila mwakani siyo. Mbali
warda
Wawooooo !!!Afadhali Mwakani Mambo Yawe Moto#Meridianbettz
aisha
Corona imeharibu kila kitu
Amiri Kayera
Habar njem
Povel
Habar njema