Licha ya mshambuliaji wa Buyern Munich Robertal Lewandowski mkataba wake kukaribia kufika mwisho ndani ya kikosi hicho na kuonesha ni ya kutaka kuondoka, Bayern wameonekana kutojali kama wanaweza kumpoteza mchezaji huyo.
Oliver Khan
Oliver Khan
Mkurugenzi mtendaji wa B.Munich Oliver Khan alipokuwa akizungumza na wanahabari siku ya jana alisema “sisi tumejitahidi kwa kila namna ili aweze kuongeza kandarasi mpya ndani kikosi tumemtumia wakala wake ofa yetu lakini hatujajibiwa hivyo haiwezi kutuumiza kichwa kwanini hajajibu au kama anataka kuondoka”.
Oliver Khan
Oliver Khan

Lewandowski amebakiza mkataba wa mwaka mmoja ndani Buyern huku akihusishwa zaidi kujiunga na vigogo wa Laliga Barcelona.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa