Sheria ni msumeno. Olympique Marseille wameingia kwenye anga za Fifa. Rungu la sheria limewaangukia. HAKUNA KUSAJILI kwa mwaka mmoja.
Kama kuna timu inajua ladha halisi ya kufungiwa usajili, basi ni Chelsea. Walipitia kipindi kigumu baada ya kufungukiwa kufanya usajili wa wachezaji, wanauza tu bila kununua. Sokoni kulikuwa kuchungu kwa The Blues.
Marseille wanaingia kwenye mkono wa sheria kutokana na ushiriki wao kwenye sakata la usajili wa Pape Gueye kutoka Watford.

Mchezaji huyo ambaye alikuepo kwenye orodha ya wachezaji wa Senegal watakaochuana na Guinea kwenye mashindano ya AFCON yanayoendelea. Lakini, alijikuta akiondolewa kwenye orodha hiyo baada ya kusimamishwa na FIFA.
Olympique Marseille wamepokea taarifa ya Fifa na, wanajipanga kukata rufaa ya uamuzi huo kupitia mahakama ya usuluhishi wa michezo – CAS.
Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.
CHEZA HAPA