Onana Kukosa Mechi Zijazo za Ubelgiji za Kufuzu Euro 2024

Kiungo wa kati wa Everton Amadou Onana atakosa mechi za Ubelgiji za kufuzu kwa Euro 2024 baadaye mwezi huu kutokana na tatizo la paja.

Onana Kukosa Mechi Zijazo za Ubelgiji za Kufuzu Euro 2024

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 alipangwa kuwa katika kikosi kitakachomenyana na Austria Juni 17 na Estonia Jumanne iliyofuata.

Lakini Taarifa ya klabu imesema; “Amadou Onana hatashiriki Ubelgiji katika mechi zijazo za kimataifa kutokana na jeraha dogo la paja na atarejea Finch Farm kutibiwa na madaktari wa klabu,”

Onana Kukosa Mechi Zijazo za Ubelgiji za Kufuzu Euro 2024

Anatarajiwa kuwa fiti kwa ajili ya kuanza kwa mazoezi ya Everton ya kujiandaa na msimu ujao mwezi ujao.

Acha ujumbe