Jana Mei 6, 2021, Mheshimiwa Kaguta Museveni na Waziri wa Elimu na Michezo Mama Janet Museveni alimtambua na kumzawadia nahodha wa zamani wa Uganda Cranes bwana Denis Onyango kwa kulitumikia vyema taifa lake wakati wa kipindi chake.

 

onyango, Onyango Akabidhiwa Gari na Raisi Museven Ikulu., Meridianbet

Onyango amezawadiwa gari aina ya Sports Pajero aliyokabidhiwa jana katika kunako Jumba la Ikulu Entebbe.

Ikumbukwe kuwa, mnamo 12 April, 2021 bwana Onyango alitangaza rasmi kutundika daruga kuitumikia timu yake ya Taifa Uganda Cranes.

Mlinda Mlango huyo ameitumikia Uganda katika michezo 83 tangu alipocheza mechi yake ya kwanza ya kimataifa dhidi ya Cape Verde mnamo Juni 2005.


TENGENEZA FAIDA KUPITIA MCHEZO WA TITAN DICE UKIWA NA MERIDIANBET KASINO

Unapokuwa kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, huna sababu ya kucheza kwa mashaka. Titan Dice, ni mchezo unaweza kukupatia mamilioni kwa mzunguko mmoja!

onyango, Onyango Akabidhiwa Gari na Raisi Museven Ikulu., Meridianbet

SOMA ZAIDI

10 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa