Ozil Kugharamia Mshahara wa Jerry Quy Kusalia Emirate.


Staa wa Arsenal, Mesut Ozil, amejitolea kugharimia mshahara wa Jerry Quy ambaye amekuwa maskoti aitwaye Gunnersaurus kwa kipindi kirefu uwanjani Emirates.

Mnamo Oktoba 5, 2020, Arsenal walifichua kwamba Quy, ambaye amekuwa akiwapa mashabiki na wachezaji burudani ya kipekee uwanjani kwa miaka 27 iliyopita, alikuwa sehemu ya vibarua 55 ambao watafutwa kazi baada ya hazina ya fedha ya Arsenal kutetereka na janga la corona.

 

Ozil Kugharamia Mshahara wa Joy Quy Kusalia Emirate.

“Nilihuzunika sana kusikia kwamba Jerry Quy ambaye amekuwa maskoti wetu maarufu atafutwa kazi. Amekuwa sehemu muhimu ya historia ya The Gunners,” akasema Ozil, 31.

“Kutokana na hilo, nitajitahidi kurejeshea Arsenal mshahara ambao wamekuwa wakimlipa Quy ili aendeleee kuwa sehemu ya burudani kwenye uwanjani na kwenye runinga zetu kwa sababu anaipenda sana kazi yake,” akaongeza Ozil mzawa wa Uturuki na raia wa Ujerumani.

Arsenal wanaendelea na mchakato wa kufuta kazi baadhi ya vibarua 55 ili kupunguza gharama ya matumizi.

 

Ozil Kugharamia Mshahara wa Joy Quy Kusalia Emirate.

Wachezaji wa kikosi cha kwanza na kocha Mikel Arteta waliafikiana na usimamizi kuhusu haja ya kupunguzwa kwa mshahara wao kwa hadi asilimia 12.5 kuanzia Aprili hadi Disemba 2020.

Viongozi wakuu wa Arsenal pia walikubali kupunguziwa malipo yao kwa zaidi ya theluthi moja kwa kipindi cha miezi 12 ijayo.

Licha ya mipango hiyo yote, Arsenal wamesisitiza kwamba wanakabiliwa na hali ngumu zaidi ya kiuchumi ambayo huenda ikadumu kwa kipindi kirefu.


Weka Pesa kwa Airtel Money!

Sasa unaweza kuweka pesa moja kwa moja kwenye akunti yako ya Meridianbet kwa kutumia mtandao wa Airtel. Usipate wasi wasi, tunaifanya kazi kuwa rahisi zaidi!

Soma Zaidi

43 Komentara

    ozil ameonesha moyo wa kishujaa sana kwa jambo alilolifanya

    Jibu

    Siku zote ozil hamekua mtu mwenye huruma sana mungu amjaalie haendelee kua na himani hiyo hiyo

    Jibu

    Ozil Ana moyo wa pekee hongera yake

    Jibu

    Ozil ameonyesha moyo

    Jibu

    Ozil ameonesha moyo mzuri Sana ni mfano wa kuigwa kwake

    Jibu

    Ozil amefany jamb zur la kuigwa

    Jibu

    Ozil shujaa namba moja

    Jibu

    Ni mfano Wa kuingwa

    Jibu

    Ozil ameonyesha moyo wa kishujaa na waajabu anastahil kuigwa na mfano kwa wengine.

    Jibu

    Ozil ameonyesha moyo wa kipekee sana

    Jibu

    Safi san ozil ww Ni mfano wa kuingwa

    Jibu

    Ozil ww ni fundi

    Jibu

    Ozil ameonyesha moyo

    Jibu

    Ozil yupo vizuri sana

    Jibu

    Ozil anamoyo mzuri

    Jibu

    Ozil ameonyesha moyo wa ubinadamu

    Jibu

    Ozil ana moyo wa kipekee.

    Jibu

    Ni safi sana ozil kubaki Emirates

    Jibu

    Ozil amefanya jambo la busara sana

    Jibu

    Ozil ana moyo wa dhahabu

    Jibu

    Ozil amefanya jambo zuri la kuigwa

    Jibu

    Ozil ameonyesha moyo wa kishujaa

    Jibu

    Ozil anamoyo wa huruma sana

    Jibu

    Ozil ur the best

    Jibu

    Ozil kiboko

    Jibu

    Ozil ni nomaa sana

    Jibu

    Excellent Ozil
    Well done Brother.

    Jibu

    Ozil ni safi kuonyesha moyo mzur kwa huyu mtu

    Jibu

    Ozil amedhibitisha kaul ya kutoa ni moto wala si utajir

    Jibu

    Ozil ni mtu wa kujitolea

    Jibu

    Siku zote ozil hamekua mtu mwenye huruma sana mungu amjaalie haendelee kua na himani hiyo hiyo

    Jibu

    Ozil amefanya jambo zuri la kuigwa

    Jibu

    Ameonyesha moyo wa kipekee sana

    Jibu

    Ozil ni fundi

    Jibu

    Ozil mtu mwenye pesa zake

    Jibu

    Ni moyo wa pekee alionyesha ozil hakiki ni swala la kuigwa

    Jibu

    Vizuri Sana alicho kifanya Ozil kugharamia mungu amzidishie kwalicho kifanya

    Jibu

    ozil hamekua mtu mwenye huruma sana mungu amjaalie haendelee kua na himani hiyo

    Jibu

    🔥

    Jibu

    Ozil jembe

    Jibu

    Ozil kaamua kulipa fadhila

    Jibu

    Ni mfano wa kuingwa

    Jibu

    Ozil amefany Jambo zuri anafaa kuigwa.

    Jibu

Acha ujumbe