Page Amrudisha Ramsey Wales.


Aaron Ramsey amerejea katika timu ya taifa ya Wales kwaajili ya mechi tatu zijazo zitakazosimamiwa na kocha msaidizi wa kikosi hicho, Robert Page.

Page atasimamia michuano hiyo baada ya kocha mkuu Ryan Giggs kukabiliwa na shutuma za kumjeruhi mchumba wake.

Ramsey amejumuishwa katika kikosi hicho cha Wales licha ya kupata jeraha la misuli kwenye mechi ya Klabu Bingwa Ulaya (UEFA) iliyowakutanisha Juventus na Ferencvaros.

 

Page Amrudisha Ramsey Wales.

Aramsey Anaungana na Bale na Nyota wengine katika Kikosi hicho cha Wales wakiwemo makipa wapya baada ya Wayne Hennessey (Crystal Palace) na Adam Davies (Stoke City) kupata majeraha.

KIKOSI CHA WALES:

Ward, Fon Williams, King, Gunter, Davies, Roberts, Ampadu, Mepham, Lockyer, Rodon, N Williams, Lawrence, Cabango, Norrington-Davies, Ramsey, J Williams, Wilson, Brooks, James, Smith, Morrell, Levitt, Johnson, Sheehan, Bale, Lawrence, Moore, Ratondo, Roberts.


USHUJAA UNAKULIPA HAPA!

Hii ni halisi kwa ajili ya mashujaa wote! Ukiwa jasiri unavuna mkwanja kibao hapa na sloti hii ya Huangdi Casino. Waka nusu tukupe maradufu!

Ingia Mchezoni!

21 Komentara

    Ramsey Yuko vizuri na anajiamini akiwa uwanjani

    Jibu

    Namkubali sana Ramsey amefanya jambo la maana sana page kumludisha kwan anamchango mkubwa sana pale wales

    Jibu

    Ramsey anajituma sana

    Jibu

    Ramsey Yuko vizur

    Jibu

    Ramsey anajua nini anafanya yupo vizuri sana

    Jibu

    Kwa makosa aliyo kuwa nayo yalimchafua sana kiasi cha kupoteza mashabiki sasa ndio muda wake kurudisha imani kwao

    Jibu

    Goodnews

    Jibu

    Kikosi cha wales kina wachezaji wazuri

    Jibu

    Vizuri Sana namkubali Sana Ramsey

    Jibu

    Ramsey anajua sanaa

    Jibu

    Ramsey ni mahiri anajua kazi yake

    Jibu

    Gud

    Jibu

    Ramsey ni mchezaji alie Makin sema majeruh ndio yanamsumbua

    Jibu

    Majeruh yanamfanya ramsey awe nje ya uwanja lakin page ni saf kwa kumuamin huyu mtu

    Jibu

    Goo Ramsey

    Jibu

    Habari njema sana

    Jibu

    Habar njema kwa mashabiki wa wales

    Jibu

    Ramsey yupo vizur

    Jibu

    Ramsey anajua yuko vizuri

    Jibu

    Ramsey yuko poa sana

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.