Timo Werner amefunga goli lake la kwanza tangu Bundesliga irejee ikiwa miezi miwili kutoka ligi hiyo iliposimama kwasababu ya Corona wakati RB Leipzig ikiminyana na Mainz. Timo, 24, alifunga hat-trick …
Makala nyingine
Huyu ndiye Floyd Mayweather, ni bondia tajiri anayependa kuwaonyesha watu wote utajiri wake. Hii ni hulka ya mastaa wengi kupenda waonekane wana pesa, pengine sio mastaa tu bali asilimia kubwa …
Katika ligi kuu ulimwenguni zilizofaidi utamu wa wachezaji wa kidachi ,ligi ya Uingereza ni mojawapo.Achana na kina Virgil Van Dijk wa majogoo wa Liverpool na wengineo wa sasa .Walikiwepo kina …
Maisha hayana adabu , maisha yanaweza kukupeleka sehemu ambayo hukuwahi waza kuwepo na yakiamua yameamua . Masikini kipindi mtu anasoma anawaza kua mwanasheria lakini mwisho wa siku anakua mwalimu wa …
Trent anakuja kutupa somo jipya namna mpya na darasa jipya , anakuja kutupa vitu ambavyo hatukuviona kwa muda kidogo beki wa kulia mwenye takwimu nyingi za hatari za kushambulia kuliko …
Kocha wa zamani wa Tottenham, Mauricio Pochettino amesema yuko tayari kurudi Premier League na kufundisha timu hata Kama ipo nje ya top six huku kukiwa na Uvumi wa kutakiwa na …
Ligi ya Ujerumani inapigwa leo kwa mechi tatu, ikumbukwe kuwa Ligi ya Ujerumani maarufu kama Bundesliga ndio Ligi pekee ya Barani Ulaya iliyorejea mapema ukiachana na Ligi zingine zilizomalizika kama …
Wachezaji bora wa kutoka Ureno walienda Uingereza katika ligi kuu ya nchini humo na kufanya vyema sana wakiwa pale. Je, unadhani ni Ricardo Carvalho, Bernardo Silva ama Cristiano Ronaldo? Hao …
Wakati Bundesliga ikiendelea kupigwa kwenye viwanja tofauti nchi Ujerumani, jana zilipigwa mechi 5. Moja ya mechi kali jana ilikuwa ni Wolfsburg wakiikaribisha Dortmund ambayo ilimalizika kwa Dortmund kushinda 2-0. Goli …
Inter Milan imepiga chini ofa ya £54m kutoka Paris Saint-Germain kumhusu Mauro Icardi, na kuiacha Chelsea kwenye mbio na kuwania saini ya straika huyo. Icard, 27 kwasasa yupo PSG kwa …
Zile tuzo za UNFP ambao huwa wanashirikiana pamoja na akina LFP na beIN Sports hazitofanyika mwaka huu. Usiku wa tuzo hizo umekuwa ukipangwa kufanyika mnamo tarehe 17 Mei. Kauli ya …
David Luiz amesema mutskabali wake wa soka upo Benfica, amesisitiza kuwa atarejea kwenye klabu yake ya zamani wakati ikiwa imesalia miezi 12 kwenye mkataba wake na Arsenal. Beki huyo wa …
Ni muda wa mechidei ya 27 ya michuano ya Bundesliga. Borussia Dortmund wanatarajia kuwa kepteni wao, Marco Reus atarejea kabla ya kumalizika kwa msimu huu… Meridianbet.co.tz inaangalia nani ambaye atakuwepo …
Habari zenu? Wikiendi iliyopita mkeka wangu wa Bundesliga nilioposti hapa ulishinda na ulikuwa ni katika gemu za Bundesliga ikiwa ni mara baada ya kurejea tena uwanjani. Ni matumaini yetu kuwa …
Zona Mista huu ni utaratibu mwingine wa kisoka uliokuja miaka ya 1970 pale Italy pia miaka hii ndipo Total football ilikua inatawala Uholanzi , Zona Mista ilileta mapinduzi hasa pale …
Kocha mkuu wa FC Barcelona, Quique Setien amesema kuwa anatumaini kuwa siku moja anaweza kumfundisha nyota wa PSG, Neymar. Neymar alijiunga na PSG kutoka Barcelona mnamo 2017 kwa rekodi ya …
Baada ya kiwango Bora huko Bundesliga, Achraf Hakimi atarudi Real Madrid mara tu mkopo wake huko Borussia Dortmund utakamilika, wakala wake amethibitisha, huku akikataa madai kuwa Inter Milan imeweka ofa …
Klabu ya Juventus, imekata ofa ya kiasi cha paundi milioni 66 Kutoka Kwa Mabingwa wa Hispania, FC Barcelona, kumuuza beki wao wa kati Mattijs De Ligt. Matthijs de Ligt (alizaliwa …
Meneja wa zamani wa Tottenham, Mauricio Pochettino amesema yupo tayari kurejea kwenye Ligi Kuu ya Uingereza na kuongoza klabu ambayo haipo kwenye timu sita za Juu kwenye msimamo wa ligi. …
Kwa mujibu wa Waziri Mkuu wa Hispania Pedro Sanchez, ligi ya La Liga inaweza kuendelea kuanzia Juni 8. Wakati kila ligi ulimwenguni ikiwa inajiandaa kurejea, kwa kuhakikisha kunakuwa na tahadhari …
On each category you can set a Category template style, a Top post style (grids) and a module type for article listing. Also each top post style (grids) have 5 different look style. You can mix them to create a beautiful and unique category page.

