Usajili mpya wa Milan, Niclas Fullkrug, anatarajiwa kukaa nje ya uwanja kwa mara nyingine, baada ya mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Ujerumani kuripotiwa kuvunjika kidole cha mguu baada ya kucheza …
Makala nyingine
Gian Piero Gasperini amesisitiza kuwa hajavunjika moyo baada ya Roma kutolewa kwenye Coppa Italia na Torino Jumanne usiku, akisema kuwa kipa Mile Svilar hana lawama kwa mabao yaliyofungwa, huku akimuelezea …
Sky Sport Italia na Gazzetta dello Sport wanaripoti kuwa AC Milan wana nia ya kumsajili kiungo wa Bayern Munich, Leon Goretzka, kwa usajili wa bure mwishoni mwa msimu huu. Mchezaji …
Inter wamethibitisha kuwa Hakan Çalhanoğlu amepata jeraha la misuli kwenye ndama (calf) wa mguu wa kushoto, na kwa mujibu wa ripoti kutoka Italia, mchezaji huyo wa kimataifa wa Uturuki atakuwa …
Leo jioni, macho na masikio ya mashabiki wa soka nchini yataelekezwa Pemba ambako uwanja wa Gombani unatarajiwa kuwa jukwaa la maamuzi. Kuanzia saa 10:30 jioni, Yanga na Azam FC zitapambana …
Michael Carrick anaweza kumpa Kobbie Mainoo jukumu muhimu katika kikosi chake cha Manchester United baada ya kumtaja kama mchezaji ambaye klabu inapaswa kujenga timu kumzunguka yeye. Baada ya Ruben Amorim …
Kwa mujibu wa ripoti kutoka The Athletic, mazungumzo ya mkataba kati ya Ibrahima Konaté (26) na Liverpool bado hayajafikia mafanikio yoyote. Beki huyo wa kimataifa wa Ufaransa kwa sasa yuko …
Kwa mujibu wa TeamTalk, Manchester United wanakabiliwa na wasiwasi mkubwa kuhusu hatma ya kiungo wao nyota, Bruno Fernandes, huku kukiwa na hatari ya kumpoteza mchezaji huyo muhimu katika kikosi chao. …
Ikiwa ni muda mchache umepita tangu kiungo rasta wa Kizanzibar, Awesu Awesu, atambulishwe rasmi kama mchezaji mpya wa klabu ya Police Kenya FC, ameaza kugonga vichwa vya habari nchini humo …
Mshambuliaji mpya wa Yanga, Allan Okello, ameonesha furaha na ari kubwa mara baada ya kujiunga na klabu hiyo kongwe, amesisitiza kuwa yuko tayari kuwa sehemu ya safari ya mafanikio ya …
Azam FC imeendelea kuonyesha dhamira yake ya kurejesha makali ya ushindani kwa kufanya usajili wa kimkakati wa mshambuliaji Aimar Hafidh Abubakar maarufu kama “Haaland”, akitokea klabu ya Mlandege ya Zanzibar. …
Senegal imeandika historia nyingine kwenye Kombe la Mataifa ya Afrika 2025 baada ya kuwa timu ya kwanza kufuzu hatua ya nusu fainali, ikipata ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya …
Morocco imeendelea kuonyesha kuwa mwenyeji mwenye dhamira kubwa katika Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Cameroon kwenye robo fainali, ushindi uliowapeleka …
Antoine Semenyo yuko mbioni kujiunga na Manchester City baada ya klabu hiyo kufikia makubaliano ya pauni milioni 62.5 na Bournemouth, badala ya kuanzisha kipengele chake cha kuvunja mkataba (release clause). …
David Moyes amefichua kuwa tayari alikuwa ameweka wazi msimamo wake kwa nahodha wa zamani wa Aston Villa, Jack Grealish, kufuatia mchezaji huyo wa kiungo kushushwa kwa kadi nyekundu katika mechi …
Ndoto za Mason Mount kushiriki Kombe la Dunia la 2026 ziko karibu kufikia tamati baada ya kiungo huyo kutolewa wakati wa mapumziko ya kipindi cha kwanza katika ushindi mwembamba wa …
Ruben Amorim amekiri kuwa timu yake ya Manchester United ilikuwa ikijaribu tu “kuhimili presha” kipindi cha pili baada ya kuwekwa chini ya shinikizo kubwa na Newcastle United. Mashetani Wekundu walipata …
Mohamed Salah alifunga bao la ushindi kwa Misri katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Afrika Kusini kwenye Kundi B la Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), katika mazingira yenye utata, …
RAIS wa Klabu ya Yanga na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika (ACA), ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Vilabu ya FIFA. Hersi Said, ameendelea kuthibitisha nafasi …
Michuano ya AFCON barani Afrika inazidi kupamba moto huko Morocco ambapo timu kadhaa zimeanza vyema na zingine zikianza vibaya ikiwemo Tanzania ambapo walipigika kwa mabao 2-1 dhidi ya Nigeria mechi …
On each category you can set a Category template style, a Top post style (grids) and a module type for article listing. Also each top post style (grids) have 5 different look style. You can mix them to create a beautiful and unique category page.

