Makala nyingine

Dan Friedkin amekuwa mmiliki mpya wa Roma leo, baada \ya kuripotiwa kukamilisha dili la ununuzi leo. Dili hili  lililofanyika chini ya Jim Pallotta lina thamani ya €591m. Pallotta alikuwa mwenyekiti …

Inter Vs Shakhtar: Kocha wa Inter, Antonio Conte anaonekana anataka kukipa kikosi chake kile kile kutia kazi kwenye gemu dhidi ya Shakhtar Donetsk, wakati Christian Eriksen akipigwa benchi tena. Ni …

Kocha wa timu ya taifa ya Uholanzi Ronald Koeman yupo mbioni kumalizana na Barcelona kwaajili ya kuchukua nafasi ya Quique Sietien aliyetimuliwa. Mchezaji huyo wa zamani wa Barcelona aliyekuwa na …

Pep Guardiola amejidhatiti katika klabu ya Manchester City na kurudi katika klabu aliyokuwa akiinoa zamani klabu ya Barcelona “Haiwezekani kwa sasa” hii ni kwa mujibu wa wakala wa kocha huyo …

Watford wamemteua Vladimir Ivic, 43, mikoba yao ya ukocha kwa mkataba wa mwaka mmoja. Kandarasi hiyo itarefushwa kutegemea matokeo yatakayosajiliwa na kikosi hicho cha Ligi ya Daraja la Kwanza (Championship) …

Kocha wa Inter Millan – Antonio Conte amesema anawaona Shakhtar Donetsk kama ndio timu ya kwanza itakayokuwa ngumu kwa vijana wake kwenye Ligi ya Europa. Baada ya nusu fainali ya …

Kinda wa Manchester United Tahith Chong amejiunga na timu ya Werder Bremen inayoshiriki ligi kuu nchini Ujerumani maarufu kama Bundesliga kwa mkopo kuelekea msimu unaofuata 2020-21. Mchezaji huyo mwenye umri …

Bado naiwaza fainali ya world cup 2006, Pirlo wa usiku ule hakuwahi kuonekana kabla. Usiku mmoja wa kiume sana katikati ya dimba. Wafaransa walilala wanaiota miguu yake. Waitaliano walilala wamekumbatia …

MATOKEO YA SOKA YA JANA JUMAMOSI YA TAR 15/08/2020. 🎯Champions League – Quarter-Finals FT Manchester City 1 – 3 Lyon 🎯Netherlands – Eredivisie Comeback FT PSV Eindhoven 1 – 1 …

Beki Samuel Umtiti wa Barcelona, 26, ameugua ugonjwa wa Covid-19. Nyota huyo mzawa wa Ufaransa hajawahi kuwajibishwa katika mchuano wowote tangu Julai 2020 baada ya kupata jeraha la goti. Kwa …

Klabu ya soka ya Ufaransa, Paris Saint-Germain (PSG) wametozwa faini ya Sh3.7 milioni kwa hatia ya kutorejea uwanjani kwa wakati uliostahili baada ya mapumziko ya kipindi cha kwanza walipokuwa wakivaana …

Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Zambia Milutin ‘Micho’ Sredojevic Chipolopolo asifu usajili wa Larry Bwalya ndani ya Simba SC. “Simba ni timu nzuri na kubwa ukanda wa Afrika …

1 2 3 780 781 782 783 784 785 786 952 953 954

On each category you can set a Category template style, a Top post style (grids) and a module type for article listing. Also each top post style (grids) have 5 different look style. You can mix them to create a beautiful and unique category page.