Makala nyingine

Matunda ya Klopp

Kazi kubwa ya makocha ni kuwafanya wachezaji kuwa na nafasi kubwa ya kufanya vizuri na kuonesha ile siri yao ya ndani kiuwezo katika kuisaidia timu. Klopp ni kati ya makocha …

Aliyekuwa nyota wa Manchester United, Antonio Valencia amefanikiwa kusainisha mkatataba na klabu mpya. Antonio alikuwa nahodha wa klabu ya Man United kabla hajaachiwa kusepa mwisho wa msimu uliopita. Alikuwa nahodha …

Pesa Siyo Lugha

Kuna msemo mmoja husema kwamba “Lugha ya Kiingereza sio rahisi”. Hilo jambo linaweza kuwa ni jibu sahihi kabisa kwa sababu baadhi ya nyota hata hawajaribu kujifunza hiyo lugha. Japo wapenda …

Kuna jamaa mmoja kutoka Iran anafanana sana na nyota wa Barcelona Lionel Messi. Bwana huyu ambaye jina lake halisi ni Reza Parastesh, amefanana mno na Leo na anapenda kuvaa jezi …

Msimu mpya wa ligi ya Uingereza ambayo ni ligi pendwa na inayofuatiliwa na wengi duniani kote utaanza kutimua vumbi mapema mwezi wa nane tarehe 9 lakini jicho la kila shabiki …

Baada ya kuonekana wamemshinda nyota kutoka Ajax Matthijs De Light Barceolona wanaonekana kuwa na mpango wa kumnasa mlinzi wa Manchester United Victor Lindelof. Barcelona wanatajwa kuwa wanahitaji kuipa nguvu safu …

Miaka 10 inatosha kwa David Silva! Silva ametangaza kuondoka klabu ya Manchester City msimu mwisho wa msimu ujao 2019/20 baada ya kuitumikia klabu hiyo kwa miaka 10. Nyota huyu mwenye …

Hivi juzi wakati wa mechi nzito kati ya Chile na Uruguay kulitokea kioja kikubwa kwa mchezaji mkubwa kama Suarez kutaka kufanya udanganyifu uwanjani kwa kumshawishi muamuzi kuita mpira wa penati …

Benitez Kutimkia China

Aliyekuwa kocha na mwalimu ndani ya klabu ya Newcastle, Rafa anaonekana yupo safarini kutimkia China ambako ataanza maisha mapya ya soka ndani ya jiji hilo. Taarifa hizo zimekuja baada ya …

Huwa ni jambo la kawaida pale wachezaji wanapofanya vyema zaidi upande mmoja lakini wanapokuwa upande mwingine wanakuwa na kiwango ambacho huwa hakivutii hadi kufanya mashabiki au uongozi wa pale walipo …

Torres Kustaafu Soka

Mchezaji mwenye historia ya pekee katika soka kwa kucheza klabu mbalimbali kubwa na zenye uwezo wa aina yake kimapato na mataji ametangaza kupumzika kucheza soka kwa sasa baada ya kutumikia …

Liverpool warushia jicho kwa Silas Wamangituka, nyota huyo wa Paris FC amekuwa na kiwango cha ajabu yake ndani la taifa la Ufaransa na kuwafanya mabingwa hao kuamini kwamba anaweza kuwa …

Meneja wa Newcastle United, Rafa Benitez ameamua kuondoka klabuni hapo baada ya kushindwa kufikia muafaka mzuri juu ya mkataba wake klabuni hapo. Klabu ya Newcastle sasa wanalazimika kuanza kusaka meneja …

Yaliyojiri AFCON

Wakati michuano ya mataifa ya Afrika yakiwa yanaendelea kushika kasi na kila timu ikitafuta ubingwa kwa heshima yake ili kuandika historia mpya kwenye michuano ya mwaka huu, basi timu za …

Baada ya kupitia kipindi kigumu cha hatua ya makundi wamefanikiwa kupenya kwenye hatua hiyo kwa sasa baada ya kuwagaragaza Qatar ndani ya michuano hiyo. Walikuwa katika hatua ambayo ilikuwa inahitaji …

Nyota wa Brazilna PSG Dani Alves ametangaza rasmi kuwa huu ni wakati wa yeye kusepa Paris Saint Germain -PSG akiwa tayari alishaanza kuhusishwa na mabingwa wa Hispania Barcelona. Nyota huyu …

Staa wa zamani wa Manchester United, Roy Keane ameamua kusepa Nottingham Forest baada ya kuitumikia klabu hiyo kwa miezi mitano tu. Keane alikuwa anafanya kazi na klabu hii kama meneja …

Manahodha Bora EPL

Hamasa ya timu kushinda mechi au mataji mbalimbali huchangiwa kwa kiwango fulani na uwepo wa nahodha mzuri anayeihamasisha timu yake kupambana na kutafuta matokeo pale wanapokuwa wameelemewa. Kwa lugha nyingine …

1 2 3 901 902 903 904 905 906 907 951 952 953

On each category you can set a Category template style, a Top post style (grids) and a module type for article listing. Also each top post style (grids) have 5 different look style. You can mix them to create a beautiful and unique category page.