Pape Gueye Atangaza Kupumzika Timu ya Taifa ya Senegal

Kiungo wa Senegal, Pape Gueye, ametangaza kuwa atachukua mapumziko ya kuichezea timu ya taifa kufuatia kuondolewa kwa Senegal kwenye Taji la Dunia 2026.

Pape Gueye Atangaza Kupumzika Timu ya Taifa ya Senegal


Gueye amesema atazungumza kwa kina kuhusu kilichosababisha kuondolewa kwa timu hiyo siku zijazo, lakini kwa sasa amesisitiza kuwa hatarudi kuichezea Senegal kwa muda wote ambao benchi la sasa la ufundi litaendelea kuiongoza timu.

Kauli hiyo imezua mjadala mkubwa miongoni mwa mashabiki wa Senegal, huku wengi wakisubiri kuona kama kutakuwa na mabadiliko ndani ya benchi la ufundi au kama kiungo huyo atabadilisha msimamo wake siku zijazo.

Jana hakufurahishwa kutolewa na nafasi yake ilichukuliwa na Lamine Camara. Mchezo ulimalizika kwa wao kupoteza kwa mabao 3-2 licha ya kuongoza 2 bila mpaka dakika ya 84.

Pape Gueye Atangaza Kupumzika Timu ya Taifa ya Senegal

Senegal inakuwa ni timu nyingine kuondolewa kwenye michuano hiyo baada ya jana pia DR Congo kuondolewa na Uingereza licha ya kuongoza mapema kabisa kwenye mchezo huo.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.