Muda wa Achraf Hakimi huko Inter unaweza kuwa mfupi, na nyota huyo wa zamani wa Real Madrid anaweza kuhama msimu huu wa joto.

Paris Saint-Germain Wanaiwinda Saini Achraf Hakimi

Paris Saint-Germain wamemtambua mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 kama mchezaji anayefaa kuingia na kucheza nafasi ya beki wa kulia huko Parc des Princes. .

Kwa mijibu wa Gazzetta dello Sport, PSG iko kwenye mazungumzo ya hali ya juu na Inter juu ya uhamisho wa Achraf, na ripoti zinaonyesha kwamba mpango huo unaweza kugharimu karibu euro milioni 60, wakati Corriere dello Sport inasema inaweza kuwa karibu euro milioni 70.

Achraf alikuwa saini ya kwanza ya Inter msimu uliopita wa joto na sasa anaweza kuwa wa kwanza kuondoka kufuatia ushindi wao wa Scudetto.

Hivi karibuni Achraf alizungumza na El Chiringuito juu ya uwezekano wa kurudi kwenye klabu ya zamani ya Real Madrid na jinsi walivyoachana mwaka jana.

“Walikuwa na nafasi ya kuniweka,” alisema.

“Ninahitaji kusafisha mambo, kwa sababu watu walisema sitaki kukaa na kupigania nafasi yangu na hiyo sio kweli.

“Kila mtu anajua, na mara ya mwisho kuzungumza tulisema hivi, kwamba Real Madrid ilikuwa nyumba yangu na ningependa kucheza huko, lakini kwa sababu ya hali nadhani waliamua kufanya kitu kingine.


BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.

Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.

tuchel, Tuchel :Tuna Bahati Tottenham Wametusaidia Kazi., Meridianbet

SOMA ZAIDI

5 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa