Kiungo nyota aliyekuwa anakipiga kwenye klabu ya Manchester United amejiunga rasmi Paul Pogba amejiunga rasmi na klabu ya Juventus kwenye dirisha hili la usajiri kwa uhamisho huru baada ya kumaliza mkataba wake na mashetani wekundu.

Historia ya Paul Pogba, Manchester United na Juventus ni ya kuvutia sana, Pogba alikwenda Juventus mwaka 2012 kwa uhamisho huru, huku akirejea mwaka 2016 United kwa kitita cha $115Milion, lakini mwaka huu amerudi tena Juventus 2022 kwa uhamisho huru tena.

Paul Pogba

Kiungo huyo wa kimataifa wa Ufaransa na mshindi wa kombe la dunia Paul Pogba alianza maisha yake ya soka la kulipwa kwenye klabu ya Manchester United, ambao walimnunua kutoka kwenye akademi ya klabu ya Le Havre mwaka 2009.

Safari ya Paul ndani ya vibibi vya Turin itakuwa ya mafanikio kama ilivyokuwa hapo awali, au ndio njia kwenda mwisho wake imefika?


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa