Liverpool wanatajwa kuwa wamemfanya nyota wa Barcelona, Pedri kuwa kipaumbele kwenye dirisha hili la usajili.

Kinda huyu mwenye miaka 18 amefanya vyema sana katika msimu wake wa kwanza na Barcelona akicheza mechi 51 kwa michuano yote msimu uliopita.

Thamani ya Pedrid itaongezeka zaidi ikiwa atatatumiwa zaidi na Hispania kwenye Euro 2020.

Liverpool Wawania Huduma za Pedri.

Barcelona pia wanaripotiwa tayari walishajihami kumpoteza staa huyo, hivyo wanamfanya kuwa mmoja wa wachezaji wagumu kuwapata sokoni katika msimu huu wa uhamisho.

Hata hivyo, mkataba wa sasa wa Pedri una dau la £70m la kumnunua kwa kipengele tajwa cha mkataba, ikiwa maamuzi yeyote ya klabu yatafikia kiasi hicho na mchezaji akakubali, basi suala hilo linaweza kuwa nje ya uwezo wa Barca.

Kwa mujibu wa Mundo Deportivo, Liverpool wanafikiria kufanya maamuzi ya kumchukua staa huyu na hilo ni kipaumbele japokuwa bei inaonekana kuwa juu kwao. ‘


 

WEKA PESA KUPITIA DUKANI MERIDIANBET!

Chukua namba yako ya akaunti na kiasi cha pesa unachotaka kuweka, sogea kwenye duka lolote la Meridianbet lililo karibu nawe utasaidiwa kuweka pesa.

Weka Pesa Meridianbet

WEKA PESA

3 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa