Kocha wa klabu ya Manchester City Pep Guardiola amemsifu mshambuliaji wa klabu ya Tottenham kwa kiwango alichokionyesha kwenye mchezo wa siku ya jana jumamosi ambao Man City walipoteza kwa goli 3-2.

Mwaka 2021 majira ya kiangazi Guardiola alitaka kusajiri mshambuliaji huyo lakini offa yake aliyopeleka kwenye klabu ya Tottenham ilikataliwa na mwishowe Kane akabaki Spurs, na kuwa msaada mkubwa kwa klabu hiyo.

Pep Guardiola

“Haikuwa jambo la hiyari kumsajiri Kane, kila mmoja alijua kuwa tunamuhitaji, lakini haikuwa hiyari, haitaji kuonyesha goli alilotufunga ili kuona ubora wake, Uingereza nzima inajua hili.” alisema Pep Guardiola

Usiku wa Jumamosi Kane alikuwa kwenye kiwango cha juu, na kufanikiwa kufunga goli mbili na kuisaidia klabu yake kuondoka na point tatu kwenye mchezo huo ulioyoisha kwa goli 3-2, huku Kane akifunga goli mbili dakika ya 59 na 95, Kulusevski akifunga dakika ya 4 huku mqagoli ya Man City yakifungwa na İlkay Gündoğan 33 na Riyad Mahrez 92.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa