Pep Guardiola: Norwich ni Mtihani Mwingine

Pep Guardiola anatarajia kuona maendeleo ya klabu yake ya Manchester City dhidi ya Norwich City watakapojiandaa na mchezo wao wa pili wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Real Madrid.

Wshindi wa Kombe la EFL, Manchester City walishindwa kutetea taji lao la Ligi Kuu Uingereza na hawakuweza kubakiza Kombe la FA lakini bado wanaweza kushinda taji kubwa ziaidi Ulaya kwa mara ya kwanza.

Timu ya Guardiola inaiongoza Madrid kwa 2-1 baada ya mchezo wa mzunguko wa kwanza kule Santiago Bernabeu mnamo Februari, ikimaanisha wanahitaji tu kulinda nafasi yao kufikia fainali ya timu nane kule Lisbon.

Lakini meneja huyo ameumia sana na kichapo cha Kombe la FA dhidi ya Arsenal mwishoni mwa wiki iliyopita na bado aliona nafasi ya kujiboresha wakati anapofikiria uteuzi wa timu yake ya Ligi ya Mabingwa.

Pep Guardiola: Norwich ni Mtihani Mwingine
Pep Guardiola

Na City ikiwa na wakiwa na magoli 97 ya ligi kabla ya mchezo wa mwisho kabisa wa msimu dhidi ya Norwich, Pep Guardiola aliwaambia waandishi: “Ni vizuri kufunga mabao, lakini hatuwezi kukataa haitoshi kumaliza kileleni.”

“Tuko nyuma kwa alama 18 dhidi ya Liverpool, kwa hivyo tunapaswa kuchambua kilichotokea na kila mchezo lazima uwe lengo. Labda kufunga mabao 100 itasaidia kushinda mchezo.”

“Halafu tutaona wachezaji wakijiandaa na mchezo dhidi ya Madrid; ni huu mchezo dhidi ya Norwich na jinsi wanavyojifunza wiki hii, tutaangalia kwa makini katika maandalizi ya kucheza dhidi ya Madrid.”

“Kila siku ni mtihani kwangu kuona ni nani yuko tayari kucheza mchezo huu. Ningesema dhidi ya Arsenal, hatukuwa tayari. Dhidi ya Watford, ilikuwa bora kidogo, lakini bado tunahitaji kuboresha.” -Pep Guardiola

Kuna wasi wasi juu ya Sergio Aguero juu ya mchezo wa Madrid kufuatia upasuaji wa goti, lakini bado Guardiola alionekana akiongezea nguvu kwani hakutaja wachezaji walio majeruhi kwenye mchezo huo.

“Kila mtu atakuwa sawa kwa Madrid, kwa matumaini – isipokuwa [Benjamin] Mendy ambaye amesimamishwa,” alisema Guardiola, bila kumtaja rekodi ya mabao ya City.


Kwa sababu ya thamani ya pesa yako, kwa kila muamala unaofanya wa kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet unapata 5% bonasi.

Soma Zaidi

33 Komentara

    Norwich japo kuwa wameshashuka daraja lakini hawachukuliwi POA maana wanataka kushuka kwa heshima kwa kuwafunga timu kubwa

    Jibu

    Norwich hawawezi kushuka daraja kirahisi ivyo lazima watafanya tukio moja la kufunga timu kubwa

    Jibu

    kikubwa ni kujiamini Guardiola

    Jibu

    Ila katika makocha nawakubali Pep Number moja#Meridianbettz

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Pep guardiola nikocha mzuri sana

    Jibu

    Norwich Ni timu ngumu na yenye
    Ushindanyi

    Jibu

    Asante kwa taarifa#meridianbettz

    Jibu

    Pep yuko vizuri sana cha msingi anatakiwa kujiamini

    Jibu

    Man city ana anachokitafuta na amini game itakuwa ngumu sana na norwich naamini atashinda hii game

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    pole sana Norwich….

    Jibu

    Asante kwa taarifa#Meridianbettz

    Jibu

    Pole norwich

    Jibu

    Hizo ni mbinu za kimchezo gurdiola anashinda vizuri tu.

    Jibu

    Ni team itakua na ushindan

    Jibu

    Kwel Norwich n habar nyngne

    Jibu

    Pore Norwich

    Jibu

    asante kwa habar

    Jibu

    Meridian kwa habari noma.

    Jibu

    Hatar sana

    Jibu

    Guardiola uoga tu

    Jibu

    Ktaeleweka tu

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Don’t miss

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    juu ya kushuka daraja norwich lakin pep hataki kumdharau norwich city

    Jibu

    Pep hapa katuzuga tuu najuwa Norwich watakula 4+

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Norwich atayapangua tu magoli ata kama ana wakati mgumu

    Jibu

    Natabiri mvua ya magoli ktk mechi hii ya mwisho#meridianbettz

    Jibu

    asante kwa taarifa

    Jibu

    Habari njema Sana

    Jibu

Acha ujumbe