Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ametwaa tuzo ya kocha bora wa mwaka 2020/21 wa Ligi Kuu ya Uingereza kwa kupata kura nyingi kutoka kwa makocha wenzake (The League Managers’ Association Manager Of The Year – LMA)
Makocha wengine watano ambao walikuwa kwenye kinyang’anyiro hiko ni pamoja na Marcelo Bielsa (Leeds), Daniel Farke (Norwich), Emma Hayes (Chelsea Women), David Moyes (West Ham) na Brendan Rodgers (Leicester).

Hii ni mara ya pili kwa Pep kutwaa tuzo hiyo kwani mwaka 2018 alitwaa tuzo hiyo, 2019 ilienda kwa Chris Wilder na 2020 alitwaa Jurgen Klopp baada ya kuisaidia Liverpool kutwaa Ubingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza.
BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.
Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.
Goodnews
Habari njema