Pep Guardiola na Jurgen Klopp pengine ndio makocha bora zaidi barani Ulaya kwa sasa. Bila shaka, wanaitawala EPL, kila mmoja kwa nafasi yake.

Mikataba yao na vilabu vyao (Man City na Liverpool) inamalizika 2024 lakini, Klopp amesaini mkataba mpya wa miaka 2 zaidi na sasa, atamalizana na Anfield ifikapo 2026. Pep, wala hawazii hilo.

Pep, Pep: Mkataba Wa Klopp Sio Kigezo, Meridianbet
Jurgen Klopp

Baada ya kuhojiwa na waandishi wa habari kuhusu mkataba mpya wa Klopp, Guardiola amekataa uhusiano uliopo kati ya mkataba wa Klopp na hatma yake ndani ya City.

Pep, Pep: Mkataba Wa Klopp Sio Kigezo, Meridianbet

Pep anaamini katika mipango ya kila mmoja, sio yeye kama kocha tu, hali ya vilabu, maono ya uongozi wa klabu na mambo mengine mengi ndio yanachagiza uwepo wake Manchester City. Ni vitu hivyo ndivyo vitamfanya abaki au aondoke baada ya miaka 6 ya kufanya kazi Etihad na sio kwa sababu Klopp amesaini mkataba mpya basi na yeye afanye hivyo.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa