Barcelona wamepata pigo jipya kwa kufungiwa kwa nyota wao Dani Alves.

Alves alikuwa kwenye fomu nzuri sana mwishoni mwa juma, akifunga na kusaidia Barcelona kushinda bao 4-2 dhidi ya Atletico Madrid.

Mbrazil huyo alikuwa alikuwa karibu zaidi na tuzo ya Mchezaji Bora wa Mechi hadi alipotolewa kwa kadi nyekundu zikiwa zimesalia dakika 20.

Alves alikabiliwa na changamoto adhabu kwa mchezo wake dhidi ya Yannick Carrasco.

Beki huyo mkongwe alikasirishwa sana na kadi nyekundu aliyopewa, lakini mechi za marudio zilionyesha ulikuwa uamuzi usio na shaka.

Na maamuzi yaliotolewa siku hiyo yameungwa mkono huku beki huyo, akifungiwa michezo miwili.

Atakosa mchezo wa dabi na Espanyol wikendi hii, mechi ya Ligi ya Europa dhidi ya Napoli – kwa sababu hajasajiliwa kwenye mashindano – na kisha safari ya kwenda Mestalla kumenyana na Valencia.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa