Jina la Andrea Pirlo limetajwa katika vyombo vya habari kwa siku ya leo baada ya kocha huyo kufukuzwa kazi pale Juventus.

Taarifa rasmi kutoka mabingwa hao wa kihistoria wa Serie A ilisomeka kama ifuatvyo.
“Ahsante kwa kila ktu Andrea pirlo!
Haya ni maneno ya kwanza tunayoweza kusema baada ya safari hii maalum tukiwa pamoja.

Miezi michache iliyopita, Andrea Pirlo, mchazaji bora kwenye soka, alianza safari kubwa ya kwanza kama kocha.

Kwanza kabisa, kufanya hivi kumeonesha kujiamini na kuelewa vitu binafsi vya mtu husika, hususan kwa kipindi ambacho kulikuwa na maelfu ya changamoto, na dunia ikipatita suala la COVID-19 siku baada ya siku.

Pirlo ameanza hatua za kwanza tu ambazo bila shaka atakuwa na wasaha mzuri sana kama kocha. Amefanikiwa kuleta mabadiliko, kutafuta, na kusimamia mara nyingi, kuleta maoni yake na uzoefu wake kama bingwa uwanjani kutoka “upande mwingine” wa uzio.

Na kwa kuwa katika mpira wa miguu, ushindi una umuhimu mkubwa sana, hebu tukumbuke: katika kipindi cha miezi michache Juve ya Pirlo imeinua mataji mawili: Supercup ya Italia na Coppa Italia. Na yeye, kama mkufunzi, alileta ushindi mzuri nyumbani kwenye uwanja wa kifahari zaidi, kutoka San Siro hadi Camp Nou.

Kwa haya yote, kwa ujasiri, kujitolea, shauku ambayo alionyesha kila siku, shukrani zetu ziwaendee Maestro, Kocha na Andrea, na haya yote yanatoka moyoni. Pamoja na bahati yetu nzuri kwa siku zijazo hakika hiyo itakuwa nzuri”.


BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.

Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.

tuchel, Tuchel :Tuna Bahati Tottenham Wametusaidia Kazi., Meridianbet

SOMA ZAIDI

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa