Pitso Mosimane, ndio ni Pitso mtoto wa mzee John Hamilton Mosimane na mzaliwa wa eneo la watu wenye hadhi ya chini na wakati kagiso, gauteng maghalibi mwa jiji maarufu afrika na duniani kote Johannesburg,
![Pitso Mosimane](https://meridianbetsport.co.tz/wp-content/uploads/2022/05/unnamed-1-1-300x196.jpg)
Mtoto wa mtaani aliyesimamia ndoto ya soka la afrika ya kusini na kubaki kwenye rekodi kubwa za heshima Africa , na kwa jinsi anavyo simamia na kuamini katika ndoto yake basi kuna kila linaloweza kumfanya moja ya makocha wa kiwango cha juu sana duniani.
kwa mara ya 4 Pitso Mosimane anaingia kwenye fainail ya klabu bingwa Afrika, alifanya hivyo 2016 na Mamelod Sundowns 2020,2021 na 2022 akiwa na Al Ahly
Katika fainal hizo amebeba 3 huku anakibarua cha kutetea taji lake dhidi ya Wydad Casablanca
![Pitso Mosimane](https://meridianbetsport.co.tz/wp-content/uploads/2022/05/unnamed-2-300x200.jpg)
Pitso Mosimane alianza kuaminika kwenye taifa lake la Afrika Kusini alipoanza kufundisha klabu ya Supersport United baadae akawa kocha msaidizi wa taifa lao na 2010-12 alisimama kama kocha mkuu na kutimkia Mamelod ambapo alidumu misimu 8 ndipo Al ahly wakapenda harakati za mtu mweusi na kumuajiri katika klabu hiyo ya mabingwa mara nyingi wa ligi ya mabingwa.
Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.