Mazungumzo yanaendelea kati ya Paris Saint-Germain na aliyekuwa meneja wa Tottenham Mauricio Pochettino na yapo katika hatua kubwa. Thomas Tuchel alitimuliwa na PSG siku ya Alhamisi miezi minne baada ya kuipeleka PSG katika Fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya.
Mazungumzo baina ya aliyekuwa meneja wa Tottenham, Southampton na Espanyol yanaaminika kuwa katika hatua za mwisho huku ikisubiri kuafikiana na makubaliano kwa pande zote.

Pochettino aliyetimuliwa Spurs mwezi November 2019, anatarajiwa kuwashinda Thiago Motta, ambaye PSG wamekuwa wakiwasiliana naye hivi karibuni kwaajili ya kibarua hicho.
Kufukuzwa kwa Tuchel kunakuja baada ya kutoa kauli ambayo ilichikuliwa kama kukosa adabu kwa viongozi wa klabu hiyo.
“Tumepoteza wachezaji wengi ambao walikuwa huru [bila mikataba]. Imekuwa zaidi. Hatuwezi kupata tulichokipata katika msimu uliopita katika kikosi hichi.” alisema Tuchel

Siku iliyofuata mkurugenzi wa michezo. Leonardo alitoa kauli ambayo ilionekana dhahiri kuchukizwa na maneno ya Tuchel.
“Inabidi uheshimu watu walioko juu yako, sijapenda kauli yake na klabu haijapenda pia.” alisema Leonardo
VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini???




Tatu
Psg wamefanya haraka kumtimua tucher
Shakila mrope
Asante kwa taarifa meridian bert
Caroline
Naona ametembea na fursa
Angelina
Goodupdate
Rahmal
Nice
Issa
Saf sana psg
Saupha mohamed
Safi sana
Ernest Kimeru
Pochettino atalamba deal nono sana
Lydia Emmanuel Magoti
Safiii
Hopemwaikuka
Kaliii
warda
Ajipange PSG wako poa sana