Pogba na Ndoto za Kuitumikia Real Madrid.


Kiungo wa Ufaransa na Manchester United, Paul Pogba ameelezea dhamira yake ya kukichezea kikosi cha Real Madrid ya Uhispania katika press ya timu ya taifa.

Wachezaji wote wa soka wanatamani kucheza Real Madrid , ni ndoto kwangu mimi, kwanini isiwe siku moja ? ” alisema mchezaji huyo

 

Pogba na Ndoto za Kuitumikia Real Madrid.

Nipo Manchester , naipenda klabu yangu, nacheza Manchester , nafurahia kuwa hapa, nafanya kila niwezalo kuirejesha klabu pale inapostahili , nitajitoa kwa asilimia zote kama wachezaji wenzangu.” aliongeza Pogba

Pogba amekuwa akishutumiwa vikali kutokana na tabia yake ya kukosa nidhamu na kushindwa kujitolea kwaajili ya timu hasa pale inapofanya vibaya.

Ikumbukwe hii si mara ya kwanza Pogba kutaka kuondoka, msimu uliopita alilazimisha kuondokaa na hatimaye alikaa nje kwa takribani miezi miwili na kushindwa kukisaidia kikosi cha United baada ya kupata majeraha ya goti.

 

Pogba na Ndoto za Kuitumikia Real Madrid.

Paul Labile ni moja ya wachezaji wanaolipwa mshahara mrefu zaidi pale Old traford akiwa anatia kibindoni kiasi cha £290,000 kwa wiki.


Weka Pesa kwa Airtel Money!

Sasa unaweza kuweka pesa moja kwa moja kwenye akunti yako ya Meridianbet kwa kutumia mtandao wa Airtel. Usipate wasi wasi, tunaifanya kazi kuwa rahisi zaidi!

Soma Zaidi

31 Komentara

    Ni mahamuzi yake mtu kufanya kitu hanacho kipenda safi sana pogba pigania ndoto yako nipo siku hitakamilika

    Jibu

    Pogba yupo sahii anacho kisema nikweli anaipenda Sana timu yake Man U ila ndoto zake zinavyo muonesha kutimiza malengo kuecheze madrid ilangoja tuone zamila ya Pogba Kama itakuwa kweli kuichezea madrid

    Jibu

    Pogba anatafuta njia y’all kuondoka man u

    Jibu

    Ni Jambo zuri maan unapigania ndoto yako na nivizur kufanya kitu moyo unapendaa

    Jibu

    Akipata chance hiyo sijui itakuwaje madrid wakikutana na vichwa vya huko

    Jibu

    Ni mahamuzi yake mtu kufanya kitu anachokipenda

    Jibu

    Duuuh

    Jibu

    Saf

    Jibu

    pogba sasa naona na yeye antafuta sababu za kuikimbia united

    Jibu

    Kila la kher kwenye kutimiza ndoto yako

    Jibu

    Kaza buti utimize ndoto

    Jibu

    Mmmh

    Jibu

    Pogba Yuko sahii ili kutimiza ndoto zake

    Jibu

    Pogba mtu mbad

    Jibu

    Pogba nae atulie tu

    Jibu

    Duuh ila jitume tu na ukaze buti pogba

    Jibu

    kila la kheri kwenye kutimiza ndoto zako

    Jibu

    Pabile ni shida sana

    Jibu

    Kuna wakati mchache sana kwa Pogba kutimiza ndoto yake

    Jibu

    Pogba ajipange

    Jibu

    Kambi popote

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Kiwango kimeisha zidane alikua anmuhitaj lakin kwa sasa uwezo hamna

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Itakua poa tu

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Itakua poa sana akitua madrisy

    Jibu

    Pogba acha utoto utilie hapo ulipo

    Jibu

    Jitihada muhim atafk

    Jibu

    Vizuri

    Jibu

    Pogba anatafuta njia ni kweli anaipenda Sana timu yake Man U ila ndoto zake zinavyo muonesha kutimiza malengo kuecheze madrid

    Jibu

Acha ujumbe