Premier League Wakataa Sabu 5

Vilabu vya Ligi Kuu ya UingerezaΒ  (Premier League) vyaamua kukubaliana kurejea kwenye utaratibu wa awali wa sabu 3 kwa mechi kwa msimu wa 2021.

Mabadiliko ya sheria ya kuwa na sabu tano, kutoka katika benchi la wachezaji tisa iliianza kutumika baada ya likizo ya corona.

Premier League Wakataa Sabu 5

Lengo la sheria hii ilikuwa ni8 kuzipa nafasi timu kuwa na uwanja mpana wa kuwapumzisha wachezaji kutokana na ratiba ngumu ya mechi walizokuwa nazo mbele yao. Hata hivyo, kulikuwa na hisia kuwa baadhi ya timu kubwa ndiyo zilinufaika zaidi na utaratibu huu mpya kwa sababu ya upana wa vikosi vyao. Walihisi hakukuwa na usawa hapa.

FIFA wao walitoa ruhusa kwa vilabu kufanya maamuzi katika ngati ya nchi husika kama wangehitaji kutumia sabu 5. Lakini Vilabu vya EPL vimeamua kupiga kura kurejea kwenye mfumo wa zamani wa sabu 5.

 


 

Tiketi yako ya kwanza kamwe haiwezi kupoteza ukiwa na Meridianbet. Unarudishiwa 100% ya Tiketi yako ya kwanza.

Ingia Mchezoni

37 Komentara

    Habari njema

    Jibu

    Ni sawa tuu Kama inafaa

    Jibu

    Makala nzr

    Jibu

    Upande wng me naikubal sana hii system ambayo iliyoanzishwa na FIFA iko vzur sana sabu kuwe n wa 3 tu ndo nzur
    Kwangu n habar njema sana πŸ‘

    Jibu

    Aah kwer lkn iwe km zaman t

    Jibu

    Asante kwa habari

    Jibu

    Makala mzuri

    Jibu

    Ahsanten kwa taarifa na meridian

    Jibu

    Timu nyingi zinauoga Ndio maana wanataka kukataa Sabu 5 maana Kuna timu Zina wachezaji wengi wazuri

    Jibu

    Habari njema Sana

    Jibu

    Ni sawa tu Kama inafaa#Meridianbettz

    Jibu

    Hii ni habari njema

    Jibu

    litakuwa jambo la maana sana

    Jibu

    Makala nzuri

    Jibu

    Hii Ni habari njema
    #meridianbettz

    Jibu

    Itakuwa jambo la maana#meridianbettz

    Jibu

    Hitakua ngumu kwa makubaliano sababu timu nyengine zipo na wechezaji wengi wazuri kwa 5 ndio itakua vizuri

    Jibu

    Safii

    Jibu

    Sabu tano ndo poa

    Jibu

    Nawaunga mkono FIFA kwa mpangilio walio uweka

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Nadhani FIFA isingeweka hiyari ktk jambo hili ingefanya sheria ya kudumu. Hivi karibuni nilishuhudia mechi ya FA kati ya Chelsea na Arsenal ambapo Chelsea ilipoteza wachezaji watatu kwasababu ya majeruhi ilikuwa rahisi kufanya sub zote 5 bila kuathiri sana uwezo wa timu#meridianbettz

    Jibu

    Hii nihabari njemaaa

    Jibu

    kwa upande wangu ni vizuri tu

    Jibu

    Habari njema sana

    Jibu

    Ingeenda kuwa na faida kwa team chache

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Sub 5 nyingi Sana kwenye mchezo wa soka la miguu tatu zinatosha Sana.

    Jibu

    Itakua sawa tu.

    Jibu

    Habari njema Sana

    Jibu

    Sub 3 ni makini mno

    Jibu

    Cjaelewa hii

    Jibu

    Asante kwataarifa

    Jibu

    Mimi naona swala la sabu 5 vilabu vya epl wangekaa chini kutafakar kwa kina juu ya uamuz waliochukua kukubali kurud kwwnye sheria ya sabu 3

    Jibu

    Binafsi naona Sub 5 zingezaidia sana timu mbalimbali katika kufanya rotation ya wachezaji wao hasa wakati wa majeruhi na ata kuwapa fursa wachezaji wengine kupata nafasi ya kucheza

    Jibu

    Itakua jambo la maana

    Jibu

    Imekaa poa sana hii

    Jibu

Acha ujumbe