Mshambuliaji kinara wa timu ya Azam FC raia wa Zimbabwe, Prince Dube atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa wiki sita baada ya kuumia katika mchezo dhidi ya Yanga, Novemba 25 katika uwanja wa Azam Complex.

Dube alivunjika mfupa wa mkono wa kushoto na kutolewa dakika ya 18 ambapo Novemba 29 alipelekwa nchini Afrika Kusini katika Hospitali ya Vincent Pallotti iliyopo Cape Town kwa ajili ya matibabu.

Dube, Prince Dube Nje Wiki Sita, Meridianbet

Msemaji wa Azam, Zaka Zakazi amesema baada ya nyota huyo kufika hospitali juzi, jana amefanyiwa vipimo na ikagundulika atakuwa nje kwa wiki sita kuuguza jeraha.

Mshambuliaji wetu Prince Dube atakuwa nje ya uwanja kwa wiki sita baada ya matokeo ya vipimo alivyofanyiwa katika Hospitali ya Vincent Pallotti jana,” amesema Zaka.

Dube, Prince Dube Nje Wiki Sita, Meridianbet

Mpaka Dube anapatwa na majeraha hayo tayari alikuwa amefunga mabao sita na kwa sasa anazidiwa moja na kinara John Bocco wa Simba.

Dube, Prince Dube Nje Wiki Sita, Meridianbet
John Bocco wa Simba

FURAHIA MUZIKI MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Mchezo wa Astro Legend unakupatia burudani ya muziki kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

Dube, Prince Dube Nje Wiki Sita, Meridianbet

INGIA MCHEZONI

14 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa