PSG Auheni Baada ya Ratiba Ligue 1 Kusogezwa Mbele.


Paris Saint-Germain (Psg) watakuwa na siku 12 zaidi za kujiandaa kwa msimu mpya wa 2020-21 katika Ligi Kuu ya Ufaransa (Ligue 1) baada ya vinara wa soka ya Ufaransa kukubali kuratibu upya mechi zao.

 

Psg Auheni Baada ya Ratiba Ligue 1 Kusogezwa Mbele.

 

Psg walitazamiwa kupepetana na Lens katika mchuano wao wa ufunguzi wa msimu huu mnamo Agosti 29, 2020, zikiwa ni siku sita baada ya kupigwa 1-0 na Bayern Munich kwenye fainali ya Klabu Bingwa Ulaya (UEFA).

Hata hivyo, mechi hiyo kwa sasa itasakatwa Alhamisi ya Septemba 12, 2020, baada ya likizo ya michuano ya kimataifa.

Kampeni mpya za Ligue 1 kwa minajili ya msimu huu zilianza wikendi iliyopita ya Agosti 22 bila timu hiyo waliokuwa wakijiandaa kwa gozi dhidi ya Bayern kushirikishwa.

 

Psg Auheni Baada ya Ratiba Ligue 1 Kusogezwa Mbele.

PSG walitawazwa Mabingwa wa Ligue 1 msimu huu kwa alama 12 zaidi kuliko Olympique Marseille baada ya kivumbi hicho kutamatishwa ghafla mwishoni mwa Aprili 2020 kutokana na janga la corona.


Beti Mbio za Mbwa Mubashara

Hii ni rahisi zaidi! Hapa USHINDI unaupata kwa kuchagua mbwa anayeshinda mbio na machaguo mengine yenye odds tamu.

Cheza Hapa

41 Komentara

    vizuri sana timu zipate kujiandaa vizuri zaid

    Jibu

    Wamefanya vizuri kusogeza mbele iyo ratiba maana team zijiandae vizuri#Meridianbettz

    Jibu

    Itakuwa vizuri sana mana wametako kwenye upizani wa huu sana kupumzika kwao kutawapa mupa wa kupumzisha mwili wao na kujiandaa na mazoezi vizuri

    Jibu

    Wamefanya jambo jema sana hili wachezaji wajiandae na mazoez ya kutosha

    Jibu

    Chama cha soka Ufaransa wamefanya vizuri kusogeza ligi mblele kidogo ili wachezaji wa Psg wapumzike kidogo baada ya pilika pilika za kumaliza fainali ya UCL

    Jibu

    Me naona hitakua vizuri kwa upande wa mbappe ukingalia alikua bado hana jeraha ambalo angetakiwa hapunzike kwa mda

    Jibu

    Sema Psg mjipange vizuri.msituangushee

    Jibu

    Ni bora ili wajipange zaidi

    Jibu

    itakua vizuri wajipange ili waweze kufanya vizuri msimu ujao

    Jibu

    Huu mda mnzuri timu zipate kupumzika ndio kwa ajili ya mashindando ya msimu mjao

    Jibu

    Ni bora walivyofanya hivyo psg wanapata mda wa kupumzika baada ya kufululiza mechi

    Jibu

    Ni kheri wajipange kwanza

    Jibu

    Ni Jambo jema ili wajiandaye vya kutosha
    @meridianbettz

    Jibu

    Ni bora zaidi ili timu zijipange

    Jibu

    Wajipange ili waweze kujipanga msimu ujao

    Jibu

    Anahitaji kupumzika kdg

    Jibu

    Ni bora zaidi ili timu zijipange

    Jibu

    Kwa namna PSG ilivyopewa Ubingwa eti kwamba ligi haingerejea mpaka mwezi September kutokana na covid19 haikuwa sawa. Tumeona namna EPL, serie A, Bundesliga na Laliga zilivyorejea na kupatikana bingwa kihalali#meridianbettz

    Jibu

    Ni vizuri ili team zijipange

    Jibu

    Ni bora kwa psg ratiba ingewabana tu

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Itakuwa vizuri mno ili wajipange vyema

    Jibu

    vizuri sana timu zipate kujiandaa vizuri zaid

    Jibu

    Ni jambo zuri Sana ili timu iweze kujipanga vzr

    Jibu

    Itawapa wakati wa wao kujipanga.

    Jibu

    Jambo zuri

    Jibu

    Imekua heri maana wako na maumivu

    Jibu

    Itapaswa msimu huu PSG waangalie makosa waliofanya mwanzo ili wajipange kuchukua ubingwa msimu utakapoanza nawakubal sana PSG

    Jibu

    Habar njema kwa mashabik wa Matajir wa jiji wa paris

    Jibu

    PSG wajipange sasa

    Jibu

    Psg ratiba iliwabana san

    Jibu

    Hii iko poa ni wakati wa wao kujipanga .

    Jibu

    Hii iko poa ni mwendo wakujipanga kisawa sawa mazoezi tosha

    Jibu

    Hapa Bodi ya Ligi imetenda haki wa PSG na Lyon

    Jibu

    Jambo zuri.

    Jibu

    Wamefanya vizuri kusogeza mbele iyo ratiba maana team zijiandae vizuri#Meridianbettz

    Jibu

    Bora Hasa wapunzike

    Jibu

    bora wamesoogeza mbele ili wapate muda wa kutosha wa kusahihisha makosa yao na kujipanga vizuri

    Jibu

    Nijambo zuri

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.