Mauro Icardi anatarajia kutua Paris Saint-Germain (PSG) kwa thamani ya (£51.2m) baada ya dau hilo kukubaliwa na Inter Milan.
Mabingwa hao wa Ufaransa, PSG wamekubali kulipa £45m na £6.2m nyongeza.
Kulikuwa na mbio dhidi ya muda kwa uhamisho huo kukamilika huku PSG wenye kipengele cha kumnunua kilikuwa kinamalizika May 31, baada ya kuhamia kwenye klabu hiyo kwa mkopo Septemba 2.
Mchezaji huyo wakimataifa wa Argentina alichwa kwenye kikosi cha Antonio Conte alipowasili dirisha la kiangazi lililopita lakini ameishawisho Ufaransa.
Icardi amefunga magoli 20 kwenye mechi 31 kwenye mashindano yote kabla Ligue 1 haijamalizwa mwezi Aprili kwasababu ya Corona.
Adelta
Icard Ni mchezaji ambaye alikuwa
Katika nafasi nzuri Ila huu ugojwa wa corona
Umefanya asubiri kwanza
felister
karibu PSG Icard
Tahiya
Imekaa poa sana iyo mchezaji mzur
Hope mwaikuka
Mchezaj poa sana huyo
Antony Luseno
PSG wamepata mchezaji mahiri mchango wake katika klabu hiyo utaonekana
Frank Patrick
Cavanni replacement …great news aisee PSG wataendelea kusumbua sana league ya Ufaransa
Khadija
PSG wamepata mchezaji mahiri#meridianbettz
Salma
Ni mchezaji makini hakika PSG wamepata jembe
aisha
Icardi anajua sana na ndio maana psg wanamchukua
Neema juma
Wamepata mtu makini ambaye atawapa sifa nzuri na ushindi mkubwa
Elika
Icard tunamuombea heri aende huko Paris.saint.german
Theckla
Icard ana uwezo mkubwa acha aendelee kuitumikia PSG
Ernest
Safi sana PSG, Icard anastahili kabisa hasa ukiangalia mchango wake kwenye klabu
Ester mmakasa
Safi sana icard endelea kupambana kijana ili psg ifike mbali zaidi.
Tatu
Psg wamefanya jambo jema kwani icard ni mchezaji mzuri sana
Ester jackson
Safi sana kumekucha PSG sasa hapa icard hapa neyrma itakuwa hapatoshi
Warda
Mauro anawaniwa siku nyingi sana #Meridianbettz
Gabriel
Habar njema # meridianbettz
Hamidu
Icard ni mchezaji mzuri.#meridianbettz
Magdalena
Icard yupo poa itakuwa murua kwa PSG
Lombo
habar njema Icard yuko poa sana
Swai
PSG wataendelea kusumbua sana league ya Ufaransa
Amani
Icardi amefunga magoli 20 kwenye mechi 31 kwenye mashindano yote kabla Ligue 1 haijamalizwa mwezi Aprili kwasababu ya Corona.ingekuwa ligi inaendelea angefunga magoli mengi Zaid #meridianbettz
Povel
Psg wamelamba dume nahis ni mbadala ya cavani aliyegoma kuongeza mkataba thnks meridian bet tz
Emmy cleopa
Ahsante meridian kwa habari njema
Zeiyana
PSG wanajipanga vyema ligi msimu wa pili
Kenani
Wamepata bonge la mchezaji
Mwajuma
Wamchukuu tu awasaidiee
David pere
Ni wakati muafaka wa kufanya kazi naye vizuri
Caroline
Icard nampenda uyu Kaká jmn
mwakalosi
huu ni uamzi mzuri kwa icardi maana hawakuwa na maelewano mazur na maboss wa inter
Aziza mushi
Kijana anauwezo mkubwa Sana ndio maana PSG wameona mbali
mathayo sonje
haya ndo mambo mazuri kwa wachezaji, anatumikia kikosi vizuri kwa mkopo, then mnamnunua mazima,safi sana PSG
Shafii
Deal done Safi psg