Bodi ya Ligi ya Africa kusini (PSL) imeweka hadharani kiasi cha pesa timu zote zilivyovuna msimu wa 2020/2021 ndani ya DSTV Premiership.

Ifuatayo ni orodha ya kiasi cha pesa kilichopokelewa na timu zilizoshiriki ligi kuu ya Afrika kusini ya PSL.

1. Sundowns – R15-million(TZS Bil 2.5)

2. Amazulu – R7.5-million (TZS Bil 1.2)

3. Pirates – R3.750-million (TZS Mil 640)

4. Arrows – R7.5-million (TZS Mil 427)

5. SuperSport – R1.8-million(TZS Mil 307)

6. Swallows – R1.560-million(TZS Mil 266)

7. CT City – R1.320-million(TZS Mil 225)

8. Chiefs – R1.2-million (TZS Mil 205)

9. TS Galaxy – R885 000(TZS Mil 151)

10. Baroka – R825 000 (TZS Mil 140)

11. Celtic – R750 000 (TZS Mil 128)

12. TTM – R690 000 (TZS Mil 117)

13. Maritzburg – R690 000 (TZS Mil 105)

14. Stellenbosch – R565 000 (TZS Mil 96)

15. Chippa – R495 000(TZS Mil 84)

16. Leopards – R440 000( TZS Mil 75)

PSL ikishirikiana na DSTV imetoa kiwango kikubwa sana kwa hata kwa timu zilizoshuka daraja. Hivi karibuni, Azam Media Group ilitangaza kutoa mshiko mnene kwa timu zote zinazoshiriki VPL kwa misimu kumi mbele.


WEKA PESA KUPITIA DUKANI MERIDIANBET!

Chukua namba yako ya akaunti na kiasi cha pesa unachotaka kuweka, sogea kwenye duka lolote la Meridianbet lililo karibu nawe utasaidiwa kuweka pesa.

Weka Pesa Meridianbet

WEKA PESA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa