Ross Barkley, Jack Grealish na Ben Chilwell wakiomboleza kifo cha shabiki wa Chelsea, Andrew Wood aliyefariki Oktoba Mosi mwaka huu.
Wachezaji hao walionesha alama ya A kama kumbukumbu ya Andrew, shabiki kindakindaki wa Chelsea aliyefariki akiwa na miaka 33.
Ross Barkley ambaye ameenda Aston Villa kwa mkopo akitokea Chelsea, alifunga bao lake la kwanza klabuni hapo dhidi ya Liverpool, sambamba na nahodha wake Grealish.

Chilwell ambaye naye amejiunga na Chelsea msimu huu akitokea Leicester City, naye alifunga bao lake la kwanza katika klabu yake mpya.
Wachezaji wa Chelsea, wa sasa na zamani, akiwemo nahodha Cesar Azpilicueta, Frank Lampard na John Terry, waliomboleza kifo hicho kupitia mitandao ya kijamii.
Andrew Wood ameacha mke na watoto wawili wa kiume.
Wood alikuwa shabiki anayesafiri na timu kila inapoenda na alikuwa maarufu hadi kwa wachezaji na viongozi. Mashabiki wenzake, hasa wa jukwaa la Shed End, wameanzisha mchango wa maombolezo.
Sasa unaweza kuweka pesa moja kwa moja kwenye akunti yako ya Meridianbet kwa kutumia mtandao wa Airtel. Usipate wasi wasi, tunaifanya kazi kuwa rahisi zaidi!


Issa
Pigo kubwa sna the blues
Amiri Kayera
Ni upendo mkubwa huu kumuenzi shabik uyo r.i.p
Hopemwaikuka
Mbele yake nyuma yetu
Saupha mohamed
Pumzika kwa amani
Povel
Ni upendo na mshikamano wa wachezaj na uongozi wa Chelsea kumuenzi shabik wao R I p Wood😭😭😭😭😭😭😭
Sabrina
Daah pumzika kwa amani
felister
mwenyezi mungu ailaze roho yake pahala pema peponi amiiin
Dorophina
RIP wood apumzike kwa amani
magdalena
duh inauma sana pumzika kwa amani kijana
Mwajumah
Pumzika kwa amani
Angelina
R.i.p
Zeiyana
History yake haiwezi kufutika wood r i p
Fatina mfigi
R.I. P
Sauda
R.I.P kwake
Elika
Apumzike kwa amani
Shafii
Rip
Caroline
Mbele yake nyuma yetu
Salma ngende
R.I.p
Nasra
R.i.p
Fatuma kasomo
Pumzika kwa amani
Shani
Andre ni pigo kubwa sana kwa the blues
Samira
R.i.p😭😭😭
David Pere
Ni upendo na mshikamano wa wachezaj na uongozi wa Chelsea kumuenzi shabik wao R I p Wood
Rehema
Jaman
Tatu
Apumzike kwa amani tu
Gabriel
Apumzike kwa amani
Janeflora malisa
RIP
Tahiya
Apumzike kwa amani