Mcheza Tenisi kinda wa Uingereza, Emma Raducanu ameoredheshwa namba 10 duniani kwa ubora licha kupoteza kwa seti 6-4, 6-4 dhidi ya mchezaji namba 1 kwa ubora duniani Iga Swiatek.

Mchezo huo wa WTA Tour uliodumu kwa saa 1 na dakika 45 ulipigwa katika dimba la Porsche Tennis Grand Prix, Stuttgart nchini Ujerumani siku ya Ijumaa.

 

Raducanu, Raducanu Aorodheshwa 10 Bora Duniani., Meridianbet

Raducanu alishinda mechi mfululizo kwa mara ya kwanza baada ya miezi sita na kutinga robo fainali nchini Ujerumani, licha ya kondolewa na mchezaji bora wa dunia Iga Swiatek.

Kwa matokeo hayo inamaanisha Johanna Konta ndie mchezaji wa mwisho wa Uingereza kumfunga mchezaji namba moja kwa kipindi hicho, Konta alifanya hivyo 2017 akimfunga Angelique Kerber (akiwa mchezaji bora namba 1 duniani).


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa