Raheem Sterling Usajili wa Kwanza Wa Xavi?

Mambo yametaradadi ndani ya Camp Nou baada ya kurejea kwa Xavi Hernandez. Xavi aliondoka kama mchezaji na sasa anarudi kama kocha. Raheem Sterling atamfuata?

Sterling amekuwa akihusishwa na kuondoka Manchester City tangu majira ya kiangazi. Japokuwa usajili wake haukutokea lakini, lolote linaweza kutokea kwenye nyakati hizi.

Raheem amebakiza miezi 18 tu kwenye mkataba wake wa sasa na City na maongezi ya mkataba mpya hayaonekani kuzaa matunda. Barca inatajwa kumuhitaji mchezaji mwenye uwezo wa Sterling na ama hakika, ni Sterling anayewindwa na Xavi kama usajili wake wa kwanza.

Kumtoa Raheem Sterling pale Etihad Stadium, timu inayomuhitaji inapaswa kulipa pauni milioni 45 tu. Xavi atawezana?


NJIA RAHISI YA MKWANJA NA TITAN DICE

Unawezaje kuikosa hii! njia rahisi ya kutengeneza mkwanja katika kasino maridhawa za meridianbet. Muda wa kufurahia na kutengeneza mkwanja ipo mikononi mwako unasubiri nini?

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

Acha ujumbe