Raiola Ampeleka Haaland Sokoni.


 

Super Agent, Mino Raiola ambaye ni agenti wa staa wa Borussia Dortmund, Erling Haaland ameanza mbwembwe za mteja wake huyo huku akipelekea vuguvugu la mchezaji huyo kuondoka klabuni humo majira ya joto.

Akizungumza na vyombo vya habari agenti huyo alianza kwa kumnadi mteja wake akidai hakuna meneja yoyote duniani asiyependa kufanya kazi na mshambuliaji huyo.

 

Kuna timu 10 tu Duniani ambazo zina uwezo wa kiuchumi wa kumnunua Erling Braut Haaland. Na nne kati ya hizo 10 zipo ligi kuu ya Uingereza.

Sidhani kama kocha au mkurugenzi wa michezo wa klabu yoyote Duniani atasema hapana hamuhitaji Haaland “ alisema Raiola.

Haaland amefanikiwa kufunga magoli 10 katika mechi 7 alizoitumikia Borussia Dortmund msimu huu, huku akiwa nafasi ya pili kwa wachezaji waliofunga mabao mengi ya UEFA Champions League tangu kuanza kwa msimu uliopita.

🇵🇱 Robert Lewandowski (19)
🇳🇴 Erling Haaland (18)
🇫🇷 Kylian Mbappe (10)
🇫🇷 Karim Benzema (9)
🇩🇪 Serge Gnabry (9)


TENGENEZA FAIDA KATIKA SLOTI PENDWA HAPA MERIDIANBET

BusttheBank ni sloti inayokupa Mkwanja wa kutosha. Ndio, hii ni sloti inayokupa faida ya hadi mara kibao ya dau lako. Ni Meridianbettz pekee utakapoweza kupata burudani hii.

CHEZA HAPA

7 Komentara

    Vizuri sana

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Ni Jambo jema

    Jibu

    Jambo zuri

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Anauzika hata hvyo

    Jibu

    Wanahangaika hawa

    Jibu

Acha ujumbe